Alama hizi za bra zinatokaje?

Alama hizi za bra zinatokaje?

Kwenye hii Avatar yako ni kwamba unalia, Uko serious ama una tabasamu maana kifupi sura haielewiki(joke)
Say It No More Fam!

I Know Myself, Im Ugly as Hell, but believe it or not, sikushindi wewe!

Na kwenye Avatar, I was crying, as a Human being, I do get hurt too!
 
heeee kumbe ww she!naona unajilinganisha na hawachi demu[emoji23][emoji23][emoji23]
No I'm straight as Hell...nimetumia figure of speech sorry kumbe ung'eng'e ni kama Ronaldinho kwako? Like unakupiga chenga za maudhi! Omg!

Sijilinganishi nae but I knw she is uglier than Iam! Ndo mana nikasema simshindi!
 
Habari zenu wanawake wenzangu..
Hivi hizi alama za brazia huwa inawezekanika kutoka kweli? naamanisha zile sehemu inayopita brazia..inaacha mark mno jaman..nimeanza jichukia

Je kuna dawa yyt au mafuta yyt yanayoweza kusaidia kutoa!?yaan inafikia hatua unashindwa kuvaa backdress..au nguo zifananazo ..kama offshoulder!sio mabegani tu ni had huku mgongoni...itafikia kipindi ht kwenda beach tutaogopa..!hebu nataka jua na nyie zinawatokea..at first nilikua nalala na bra.. (mazoea mabaya)sasa hv nimeacha ila alama bado tu[emoji22][emoji22][emoji22][emoji22][emoji22]!
cc.
Nalendwa ,Shunie espy Heaven Sent Meeyah !
Picha tafadhali

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom