Alama hizi za bra zinatokaje?

Alama hizi za bra zinatokaje?

Dahhhhh....
Roho imeniuma sana, sijui kwanini nilichelewa kuuona huu uzi...[emoji39] [emoji39]
 
ah hana shida..ila mm nahis zinanikera..kuna nguo za mabega wazi ukivaa alama km zote
Ndio maana Mr haoni shida. Kumbe weye wataka enda onesha mabega ako huko rodini?? Hizo features huonwa na jicho moja tu; La Mr mutu ingine isione.
 
Labda unavaa bra ambayo siyo size yako (ndogo) inakuwa inabana au unakaza sana mikanda. Jaribu kuilegeza kidogo maybe itasaidia.
 
Labda unavaa bra ambayo siyo size yako (ndogo) inakuwa inabana au unakaza sana mikanda. Jaribu kuilegeza kidogo maybe itasaidia.

mayb..maana nayo kuna utata..sijui navaaga 32c
 
Back
Top Bottom