Joowzey
JF-Expert Member
- Nov 13, 2015
- 13,166
- 13,514
[emoji8]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji8]
Picha iko wapi?Nimemuona amechorwa kwenye maabara, maduka ya madawa na mahospitalini pia.
Nyoka amejiviringisha kwenye glass ya wine [emoji483] halafu anakunywa damu.
Naomba kueleweshwa uhusiano wa nyoka huyu na taasisi za afya.
Sasa pale c aliponya ugonjwa wa ugwadu kat ya Adam na Eva. LolNyoka huyo huyo bustani ya heden alionekana kumdanganya adam na eva kula tunda la kati kati uyo uyo anaponya tuamini lipi?
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sasa pale c aliponya ugonjwa wa ugwadu kat ya Adam na Eva. Lol
Usicheke bhan ni kweli iv aan, [emoji23][emoji23][emoji23]
Shetan mbaya[emoji16][emoji16]Usicheke bhan ni kweli iv aan, [emoji23][emoji23][emoji23]