Alama/ logo ya Nyoka katika fimbo kwenye mambo ya afya ina maana gani?

Alama/ logo ya Nyoka katika fimbo kwenye mambo ya afya ina maana gani?

Miungu ya Kigiriki ndio maana madaktari hawaamini kwenye maombi ya uponyaji
 
Wafanyikazi walio na nyoka kwa muda mrefu wamekuwa ishara ya dawa na taaluma ya matibabu. Hii Inatokana na hadithi ya Asclepius, ambaye aliheshimiwa na Wagiriki wa zamani kama mungu wa uponyaji na ambaye ibada yake ilihusisha utumizi wa nyoka.

Na Huyu Asclepius, alikuwa amefanikiwa kuokoa maisha kwa kutumia Nyoka hadi ikapelekea Hadesi mungu wa kilimwengu kulalamika juu yake kwa mungu mkuu wa Zeus.
 
Wakuu habari za majukumu, mara kwa mara mkurugenzi mkuu wa shirika la afya duniani anapotoa taarifa zake juu UVIKO-19 (ugonjwa wa virusi vya corona-19) nimekuwa napoteza focus ya kumsikiliza na badala yake hubaki kuitathmini nembo ya WHO ambayo ina nyoka ndani yake, swali la msingi kulikuwa na ulazima wa kumtumia kiumbe huyo?

Mbona kwangu hana mvuto wowote na zaidi naona anaichafua logo hyo, pia kwetu bongo kwenye sh 500 pia ya noti pia kulikuwa na picha ya nyoka pia was it neccesary? Mbona tuna wanyama wengi na wazuri wanaovutia, au kuna maelezo nyuma ya tuvionavyo?

Wajuvi wa mambo karibuni mtujuze

IMG_20200514_111040.jpeg
IMG_20200514_111018.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
wakuu habari za majukumu,mara kwa mara mkurugenz mkuu wa shirika la afya duniani anapotoa taarifa zake juu UVIKO-19 (ugonjwa wa virusi vya corona-19) nimekuwa napoteza focus ya kumsikiliza na badala yake hubaki kuitathmini nembo ya WHO ambayo ina nyoka ndani yake,swali la msingi kulikuwa na ulazima wa kumtumia kiumbe huyo ? Mbona kwangu hana mvuto wowote na zaidi naona anaichafua logo hyo,pia kwetu bongo kwenye sh 500 pia ya noti pia kulikuwa na picha ya nyoka pia was it neccesary? Mbona tuna wanyama wengi na wazuri wanaovutia,au kuna maelezo nyuma ya tuvionavyo?

wajuvi wa mambo karibuni mtujuze View attachment 1449817View attachment 1449818

Sent using Jamii Forums mobile app
Mod niombe mnirekebishie thread tittle yangu isomeke

KWANINI NYOKA ATUMIKE KWENYE WHO LOGO?

CC Invisible Moderator

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kabla hujaandika ungejaribu ku google ili ujue wanamaanisha nini.

Unadhani wanaweka logo kukufurahisha wewe? Mnyama unayeona wewe anavutia Kwa mwingine havutii.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
WHO biashara inayowapa faida ni pamoja na kuuza nyama na sumu ya nyoka.
 
Back
Top Bottom