Alama/ logo ya Nyoka katika fimbo kwenye mambo ya afya ina maana gani?

Nimemuona amechorwa kwenye maabara, maduka ya madawa na mahospitalini pia.
Nyoka amejiviringisha kwenye glass ya wine 🍸 halafu anakunywa damu.
Naomba kueleweshwa uhusiano wa nyoka huyu na taasisi za afya.
 
Unamaanisha bowl of hygeia?...
Kama ni hivyo, kuna historia ndefu kidogo..
Ila Nyoka anatumia kama nembo ya uponyaji,
glass kama kifaa cha kunywea dawa, wine kama dawa yenyewe....
Mda umenibana ila kuna sababu nyuma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…