ALAMA ya 666 tuipokee, Itarahisisha mengi. Watu waache kupotosha.

Ukisoma maandiko utagundua kuwa kitu pekee kilichomwangusha mwanadamu hadi kufikia hapa tulipo sasa kwenye hali tata namna hii ni hicho wanachokiita UHURU
 
Wapo wanaonijua.

Sinaga maneno mengi
Mpole lakini mcheshi

Naongea nikiwa naona IPO sababu ya kufanya hivyo.

Siku ukikutana na Mimi hutaamini Kama nashindwa kuongea maneno 20
Wakina robert wengi ni maintrovert
 

huna unachokijua kitu gani kitakuwa wazi kwa mfumo wa AI mbona unaongea vitu ambavyo havina uhusiano wwte, tatizo mnamezeshwa vitu msivyovijua
 
kwani bibliq ilijuaje teknolojia ya wakati huu angali iliandikwa kipindi cha kale mfumo ambao unahitajika kutumika na kutuasa tuepuke nao ufafanuzi mtoa uzi
 

Wewe ibilisi, mkubwa, una ujasiri gani wa kupingana na Mungu wewe? Unawezaje kusimama kwa ujasiri ukatangaza hadharani kwamba unapingana na Mungu aliyekuumba? Unajua siku ya kufa utakwenda wapi? Unamjua Mungu by the way au unadhani ni mpiga dili mwezio? Pumbavu sana wewe.
Namwomba Mungu akufundishe kitu ili uwe na adabu. Pumbavu sana.
 
unaweza belive kwa upande mmoja au mwingine lakin maanaa kuna mengi kwenye hidunia hasa ukifwatiliia lakin bado haitosh kuamin kuwa mungu hayupo
 
Siku za mwanadamu si nyingi kiaje?
Ulitaka ziwe ngapi na Kwa sababu zipi?
Wewe ni fala tu, lifyoto na ndiyo sababu hata shule ulifail. Sasa uantafuta watu wa kuwapeleka ushtanini kwako kwa sababu kuna wajinga kama wewe. Pumbavu sana.
 
wew mwenyew bado mtumwa, tena utumwa wako mbaya kulko hata wa hao ulio waelezea, sio mbaya lkn umeanza kujitambua, ukwel ni kwamba kama ulivyoeleza 6&7 hawa wote ni wamoja na planner wao ni mmoja ambaye ana control wote hao na kuwafanya hawaelewan watengane, wasielewane( divide to rule) huyu ndye alieunda elimu+dini = utumwa wa akili.

Usijidanganye kwa kukwepa dini na kufuata sayansz ama kufuata dini na kukwepa sayans(666) maana unakuwa hakuna ulichokikwepa, nyuma ya pazia hawa ni wamoja na ningumu kutoka ktk ilo mpka utoke nje ya box, kunielewa ngumu sabbu ya vifungo vya akili toka sehem mojawapo kati ya hizo ama zote kwa pamoja,, wahuni walioleta dini ndyo hawa wali create colonial education& economic systems to control the whole world under western nations&USA, hawa ndyo wana miliki vikund mbalimbali vya ugaid, devil's worshiping such as illuminate&freemason, skull&bones, jesuits, na dini zotee uzijuazo, kubwa na ndogo, pamoja na miungu ya dini yote kwa majina tofaut tofaut, hata uyo mungu mnaemuabudu makanisan na misikitin ni miongon mwa washirika na wapanga njama wa haya mambo...

Ngumu kuelewa, na ujue kuwa unapoingia(kuzaliwa) dunian jua umekuja sehem isiyo salama, maana vita utaianza tangu siku hiyo kwa kupigwa chanjo mnazoita salama za akina ndui na nyingnezo, pia ktk makuz yako utakutana na utumwa wa akil ambao unaanzia kwa wazaz wenyew waliourith, pia utapokea utumwa mwngne tokea shulen na majumba ya ibada, bila kusahau aina ya vyakula unavyokula vitakuathir akil,nafsi na roho yako, mpka kufikia umri wa kujitambua utu uzima yaan 18years utakuwa umegraduate masters ya utumwa wa akili ambyo kamwe utoweza kuukwepa na huwez ukwepa mpka utakapopata funguo za maarifa mapya ambyo ni kama haya nitoayo ama watoayo wengine.....

Dunia si salama yaan ukikwepa hil, u akutana na lile basi tu kutimiza agenda za wakuu wa dunia hii ambao ndyo ao religions owners+ Technologies controllers= slave masters
 
huna unachokijua kitu gani kitakuwa wazi kwa mfumo wa AI mbona unaongea vitu ambavyo havina uhusiano wwte, tatizo mnamezeshwa vitu msivyovijua
wewe ndio umemezeshwa dini Ili wakucontrol uendelee kuishi kwenye utumwa wa kifikra hizo ni mbinu zilibuniwa miaka 1500 iliyopita Ili kutawala binadamu bila kutumia nguvu sababu via religion unakua brain washed,
Ndio maana wenzetu walishatoka huko nenda Kwa hao waliokuletea hizo dini hawana mpango nazo Tena sababu ni Expired,
Now binadamu anaenda kwenye high technology na anakua superhuman Kwa kuunganishwa na program maalum za Artificial Intelligence(AI)
Itakayowasaidia kuunganishwa na mifumo yote ya kidunia kuanzia huduma zote za muhimu na Kila raia atakua na uwezo wa kupata mahitaji yake ya msingi kiurahisi Kwa mfano taarifa zake muhimu za kifedha,malazi,makazi na ajira yote yatafanywa Kwa program maalum za computer
Ambayo hiyo kitu wafia dini mnaamini ni chapa ya mnyama na mnaipinga kumbe ndio mambo yanaenda badilika hivyo siku mkija shtuka mtajikuta mpo Dunia ya kipekeenu sababu mtakua hamna taarifa zozote Kwenye mfumo na hapo ndio mtajua hamjui mtakaposhindwa kufanya chochote sababu hata pesa haitakua Kwa cash ila Kwa mfumo
Wa kimtandao Ndio mwanzo wa kutaabika na kuona Dunia ngumu sababu ya ujinga wenu wa kuamini nadharia uchwara za dini

Yajayo yanafurahisha ndugu!

# team 666
 
mkuu umeongea fact ambayo watu wengi watakupinga ila ndio ukweli wenyewe watu hawajui mbinu za Hawa wahuni mwanzo walibuni dini Ili kucontrol watu na wakafanikiwa Kwa kiasi kikubwa Sana ushahidi upo na Sasa wanakaribia kuupiga chini huo mfumo na kuja na mfumo mpya ambao ndio advanced via technology
Sasa wataweza kumcontrol binadamu Kwa kutumia computers Kwa kuwaingiza katika mfumo mpya ambao ndio tunaona hata bwana Elon musk anaufanyia majaribio makubwa wa Artificial intelligence (AI)
Utakaoweza kuingiza data kwenye bongo za binadamu kwenye computer na kujaza taarifa zote muhimu za binadamu Kama ajira,fedha na benk ,biashara,matibabu nk nk ambapo Sasa itakua rahisi Kwa Kila mtu kua na taarifa mhimu kwenye mifumo ya Dunia!
Hawa watu sio wajinga ajenda zao wamezipangilia vizuri na hakuna mtu atachomoka asilani!
 
Siku ukipata ukweli wa ufunuo wa Yohana hutarudia kuandika hoyo unayo sema fikra huru sijui mawazo huru na kujigamba wewe ni mwandishi makini. Lilith ameguagiza nini? Tueleze ukweli si kurukaruka.
 
Ukisoma maandiko utagundua kuwa kitu pekee kilichomwangusha mwanadamu hadi kufikia hapa tulipo sasa kwenye hali tata namna hii ni hicho wanachokiita UHURU
Haswaa, na tuumbe mwanadamu kwa mfano wetu sisi Hilo ni chanzo cha mwanadamu kujihisi ni familia ya MUNGU kumbe chuma si barafu.
 
People are so amazed by the things created by man but failed to realize their body is the only complex and most advanced creation and they are not amazed with it.
 
huyo Mungu wenu ndio anawafundisha kupayuka hivyo Kama wehu,matusi,kuleta vioja badala ya hoja
Huyo Mungu wenu ana walakini anawafundisha vitisho vingi Sana na inaonekana ana jazba kubwa Sana
Leta hoja wewe umjibu mtoa mada acha vitisho uchwara ewe mfia dini unakwama wapi?

Karibu Kwa povu la buku jero ewe myahudi mweusi!
 
Hapo nawewe bado hujathibitisha wala kutoa ushahidi kuwa hiyo 666 haitakuwepo wala kupata nguvu hapa duniani

Umetoa tu mtazamo wako
 

Wewe ndiye maana harisi ya shabiki maandazi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…