ALAMA ZA WA WAHUNI WA KIDUNIA Gang Signs

ALAMA ZA WA WAHUNI WA KIDUNIA Gang Signs

Ni kama kitambulisho tuu(hasa Kwenye majela na biashara haramu). Kazi yake kubwa ni kujuana kama mko kundi moja au against each other. Hapo ndio Bifu litakuja na liwalo liwe..

asante kwa maelezo!
na hongera kwa kutimiza miaka ngapi jf ------since 5th July 2011 - 5th July 2013!!!
 
567.jpg
kwani wahuni wanasaidia ninin katika jamii afu karibia hizo ishara zote huwa wanatumia wasanii wetu wa hip hop sasa inakuwaje au hip hop ni uhuni pia....
 
Mkuu mbona sijaona alama hii, au hii si uhuni?
 

Attachments

  • Kojolea askari.jpg
    Kojolea askari.jpg
    27.8 KB · Views: 128
Ukikutana na ile mijitu ya miraba minne, unalipiga mkwara kwa kutumia alama za vidole tu...lazima atoke mbio maana anajua atageuzwa bucha fasta.
Hiyo itakuwa miraba minne ya Kimombasa au ya Kiliberali, lakini tunayoifahamu sisi labda kama unataka kufunguliwa bucha.
 
Back
Top Bottom