ALAMA ZA WA WAHUNI WA KIDUNIA Gang Signs

MziziMkavu nataka tuongee kuhusu freemason
nataka kufanya maamuzi magumu.
Bibie Mamndenyi Inaonyesha unataka Utajiri wa haraka haraka kujiunga na

FreeMason itabidi uwe ni Mfanya Biashara au Uwe ni Mwanamuziki au Kiongozi wa Serikali au uwe Mtu Maarufu. Huku nilipo wapo

wengi hao Ma FreeMason lakini Mwisho wake ni Mbaya ni kifo cha gafla Masharti yao ni Magumu ukijiunga huwezi kutoka

tena ukitoka wanakuuwa na kukumaliza kabisa. Wanajuwa ukitoka utasema Siri zao ndio maana hawataki mtu ujiunge

kisha utoke kwenye kundi lao samahani sana usijiunge na hilo kundi la FreeMason. Utayahatarisha Maisha yako.
 
Last edited by a moderator:
Obama na yeye huwa anaonyosha je ni muhuni?

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
MziziMkavu asante kwa maelekezo yako mazuri,
lakini haukunitendea haki
nilitaka tuongelee ndani
kwa sababu zangu maalum.
 
Last edited by a moderator:
Obama na yeye huwa anaonyosha je ni muhuni?

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Mkuu mwekundu Rais Obama sio muhuni anaonyesha si umemuona huyo hapo chini? Rais Obama yeye yupo kundi la Watu wa FreeMason . Na hao watu wa FreeMason sio watu wahuni ni watu wenye heshima zao duniani ni kundi lenye Siri kubwa yaani kundi la Matajiri na Viongozi Mashuhuri duniani pote.
 
Last edited by a moderator:



Papa na Benedict na Wazir Mkuu wa Uingereza Mr Tony Blair walikuwa hawa wote ni free Mason.



General Musharraf na Rais Bush wote hawa ni free Mason . Kwa ufupi FreeMasons ni kundi la Watu Mashuhuri Duniani na Matajiri duniani sio kundi la Wahuni.
 

This post is rediculous! Yani hapo every sign you can posibly make while making a speech is masonic. Mtu anarekibisha tie eti masonic, obama anamchagua mwanahabari wa kuuliza swali eti masonic, alama ya ushindi kwa ngumi maonic! Halafu utashangaa ni wangapi wanaamini hivyo.
People always like to be lied to!
 
Last edited by a moderator:
Yani umemwaga mchuzi wote. watu8 na MziziMkavu wanarecord kila kitu huko, sipati tena kuwa Judge!

sasa nawe mbona umewaita hawa...............huwezi kumezea lol! hufai!
usijali utakuwa mpambe kwenye kampeni! lol!
 
MziziMkavu hujaweka ya MS13 ( Mara Salvatrucha) pia sio alama tuu kuna rangi zinazotumika kutambulisha, mfano ms13 wanatumia blue na white
 
Last edited by a moderator:

Mbona nyingine hazikwepeki hata katika mkao wa mtu kikawaida.
 
Last edited by a moderator:
Rais Obama Sign ya Gang Star hiyo........

 

Attachments

  • ObamaGang-BangSignLanguage.jpg
    23.7 KB · Views: 568
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…