Albadil ya wazee wa Tanga dhidi ya waliomuua Mzee mwenzao Ali Kibao imeanza kufanya kazi?

Albadil ya wazee wa Tanga dhidi ya waliomuua Mzee mwenzao Ali Kibao imeanza kufanya kazi?

Nauliza tu any update concerning with Albadil kurujuan which took place in Tanga few days ago.
Mungu yupo na mila zipo ,ukisikia unambwai ,huna dodose ogopa sana. Japo wazee wa Tanga wamenilea sana nikiwa kijana sana ndo nimeenda shirika flani kwa miaka mitano , walinipa shule ,ila watu wazuri tu sema ukicheza kwenye kumi na nane zao umeisha, hasa huko kwa Msisi balaa.

Moja ya mkuu wa wilaya huko Tanga serikali ilitaka pitisha barabara ya rami katika msitu flani hivi , wazee waligoma , mpaka mkuu wa wilaya husika akaenda kaa na wazee ,tena wakimwambia tunataka kiasi flani ili mambo yakae sawa.

Nimekaa miaka 5 sema ukweli si kuwahi kutana na mauza uza wazee walinikubali sana
 
Back
Top Bottom