Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wazee walishusha AYA huku machozi yanawatoka...Jamani jamani msifanye hivi
Lema alisema kwa sasa hata leo muende mumuee mchana kweup3 hakimbii Nchi tena.Mnyika bado kajifungia Novenani Msimbazi center 🐼
Akikujibu NITAGNani tena huyo
Kusema na Kutenda ni vitu viwili tofauti kabisaLema alisema kwa sasa hata leo muende mumuee mchana kweup3 hakimbii Nchi tena.
Kama kuna mtu anaukaribu nao naomba awaase waishie hapohapo.. Hatutaki matatizo sieTuwe na subra wamalizie Aya ya mwisho
Hiyo nadhani kwa aliyesoma CubaAliyekuambia ni Mafuru nani?
Imeshaanza kujibu kuanzia huko Cuba ambapo Madaktari wanajitahidi ili Giza la tarehe 21 March, 2021 lisijirudie tena nchini.Nauliza tu any update concerning with Albadil kurujuan which took place in Tanga few days ago.
Mkuu tutulie tu kisomo kimalizike maana hakuna jiwe litakalo salia juu ya jiwe.Kama kuna mtu anaukaribu nao naomba awaase waishie hapohapo.. Hatutaki matatizo sie
HSSHiyo nadhani kwa aliyesoma Cuba
Na iwe hivyo haya maisha lazima wote tuinjoyMkuu tutulie tu kisomo kimalizike maana hakuna jiwe litakalo salia juu ya jiwe.
Ndio mwendoKimya Kimya......
Nasiki wazee AYA kama nne ktk kitabu ndio wamesoma.Aliyenteka,aliyefadhili,aliyeamrisha,aliyemuua,aliyejuampango mzima wote ni shwaaa