Albert Chalamila hajafanya kosa la uasi?

Mkuu lala kwanza. Pakikucha tutalijadili hili kwa kina
Ulimshauri vizuri. Nami ngoja nimalizie kupiga pasi shati langu la kijani. Kofia hiyo binti keshaniambia imekauka maana niliifua jana. Wacha niwahi airport kwenda kumpokea Mama. Nikitoka huko nitakuja kuchangia.
 
Chalamila ni mhuni kama wahuni wengine tu, mwacheni aje huku kwa mabeach boy tubembee naye......let them experience the difficulties for sometimes, they might learn somethin.....lazima naye ajue Bia inanunuliwaje....
Karudi tena serikalini
 
Chalamila ni mhuni kama wahuni wengine tu, mwacheni aje huku kwa mabeach boy tubembee naye......let them experience the difficulties for sometimes, they might learn somethin.....lazima naye ajue Bia inanunuliwaje....
Karudi vp?
 
Your browser is not able to display this video.
 
Shida ya agizo lile la rais ilikuwa uhaba wa resourceS zilizoko chini ya DC na RC kumudu kutatua kero za wananchi hukohuko mikoani. Agizo lile lingefaa kwetnye serikali za majimbo
 
Mkiambiwa tatizo ni ccm nyie hamuelewi mmekazana kujipongeza tu et Mungu kajibu maombi yetu.
 
Rais anazo taarifa zote kutoka kwa mfumo wa usalama wa nchi. Unachojaribu kukifanya ni uchonganishi wa kitoto uliokosa mantiki na sababu za kina zenye ushawishi mpaka ukaweza kueleweka.

Ulichoshindwa kukijengea hoja ni kuwa Chalamila kwao ni Iringa na sio kanda ya ziwa.
 
umenielewa lakini na umechangia hoja, big up. Hata Rais alimuonya kabla ya kwenda kuanza kazi, ina maana alimuadhibu kwa kosa alilofanya, amemsamehe tu kwa sababu zake mwenyewe ambazo hajaziweka wazi lakini anasema bado atazidi kumfuatilia. sasa wewe inaonekana huna unachokitetea wala kukikandamiza, neutral, ni heri ukabaki kimya
 
Unajaribu kujitetea kwa maneno mengi lakini ujumbe wa uchonganishi unamhusu mleta mada moja kwa moja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…