Pre GE2025 Albert Chalamila: Inashangaza muislamu safi anakuwa kinara wa kumsema ovyo Rais Samia

Pre GE2025 Albert Chalamila: Inashangaza muislamu safi anakuwa kinara wa kumsema ovyo Rais Samia

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Heparin

JF-Expert Member
Joined
Sep 24, 2021
Posts
242
Reaction score
1,141
"Sisi waislamu tumepata faida kubwa kwa kipindi hiki kifupi. Dini yetu na Mungu wetu wamesaidia mmoja wa waumini wetu ameshika uongozi wa Nchi yetu. Kama mama huyu asingekuwa ametengenezwa vizuri kwenye imani na dini ya kiislamu yenye mafunzo sahihi dunia isingemuona anafaa kuwa kiongozi.

"Matarajio yangu wanaopaswa kuanza kumsema mema Rais wa Tanzania ni ninyi waislamu, wakati mwingine inashangaza sana unapokuta muislamu safi anakuwa kinara wa kumsema ovyo Rais Samia ambaye ni chimbuko la imani yenu.

Kupata vimbwanga vingine wakati wa Uchaguzi ingia hapa: Uzi Maalum wa Vibweka na Hekaheka za wanasiasa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

"Mnapaswa mjivunie, mijidai na mnapaswa kumwambia Mungu kijiti hiki akishikilie vizuri kwakuwa akishindwa ni tusi kwa waislamu wote kuwa hawawezi kuongoza." - RC Chalamila

Kupata habari za mikoa yote kuhusu Uchaguzi wa Serikali za Mitaa soma hapa: LGE2024 - Special Thread: Orodha ya Nyuzi za Mikoa yote Tanzania Bara inayoshiriki katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
 
Sisi waislamu tumepata faida kubwa kwa kipindi hiki kifupi. Dini yetu na Mungu wetu wamesaidia mmoja wa waumini wetu ameshika uongozi wa Nchi yetu. Kama mama huyu asingekuwa ametengenezwa vizuri kwenye imani na dini ya kiislamu yenye mafunzo sahihi dunia isingemuona anafaa kuwa kiongozi.

Matarajio yangu wanaopaswa kuanza kumsema mema Rais wa Tanzania ni ninyi waislamu, wakati mwingine inashangaza sana unapokuta muislamu safi anakuwa kinara wa kumsema ovyo Rais Samia ambaye ni chimbuko la imani yenu.

Mnapaswa mjivunie, mijidai na mnapaswa kumwambia Mungu kijiti hiki akishikilie vizuri kwakuwa akishindwa ni tusi kwa waislamu wote kuwa hawawezi kuongoza.

Huyu pimbi aache kuchnganya siasa na dini.
 
Huyu jamaa atakuwa na mojawapo ya matatizo haya kama si yote kwa pamoja:
1. Unafiki (katika dini)
2. Kujipendekeza (kwenye dini ya watu)
3. Kichaa (aliyetoroka Mirembe)
4. Mchumia tumbo (njaa imehamia kichwani)
5. Mpenda udini na mwenye kuligawa Taifa kwa misingi ya dini.
6. Mtu mwema na mfichuzi (anayelitonya Taifa juu ya upendeleo wa kidini unaofanywa na mteuzi aliye juu. Ama anaonesha madhaifu ya bosi katika uongozi kwa kuhusianisha na dini yake Ref. aya ya mwisho ya mwandishi wa habari).
 
Buberwa Kaiza achambua haiba ya viongozi tulionao Tanzania, viongozi Hawana ajenda za manufaa kwa taifa ni machawa

View: https://m.youtube.com/watch?v=x7iZSXRQpTo

Mwandishi wa habari mkongwe Kaiza Buberwa achambua aina ya wanasiasa waliokosa ushawishi wa kisiasa wakaamua kutumia dini, kuhonga fedha na vyeo, kununua kura za watoto wadogo wa shule wasiofikia umri wa kupiga kura

Kaiza Buberwa kwa kutumia sayansi ya siasa anashangaa viongozi kutaka kulazimisha watu wawaamini viongozi bila kutafakari.

Haiba ya viongozi wetu kutaka raia waamini viongozi bila kuchambua mienendo yao ya uandilifu, viongozi wasio kuwa na ajenda ya kuwaletea maendeleo, furaha, taifa shujaa na maisha bora ni madalali wa kuuza mali za nchi...kama bandari, ardhi, madini ...

Ajenda ya viongozi wa Tanzania ni kusaidia wageni kutoka bara za Uarabuni, Ulaya na Asia kuja kupewa bandari, ardhi, madini hawa wageni ndiyo wenye ajenda lakini viongozi wetu wapo ofisini na madarakani bila ajenda yoyote zaidi ya kutumikia ajenda za wawekezaji waarabu, wazungu na wachina ....
 
Sisi waislamu tumepata faida kubwa kwa kipindi hiki kifupi. Dini yetu na Mungu wetu wamesaidia mmoja wa waumini wetu ameshika uongozi wa Nchi yetu. Kama mama huyu asingekuwa ametengenezwa vizuri kwenye imani na dini ya kiislamu yenye mafunzo sahihi dunia isingemuona anafaa kuwa kiongozi.

Matarajio yangu wanaopaswa kuanza kumsema mema Rais wa Tanzania ni ninyi waislamu, wakati mwingine inashangaza sana unapokuta muislamu safi anakuwa kinara wa kumsema ovyo Rais Samia ambaye ni chimbuko la imani yenu.

Mnapaswa mjivunie, mijidai na mnapaswa kumwambia Mungu kijiti hiki akishikilie vizuri kwakuwa akishindwa ni tusi kwa waislamu wote kuwa hawawezi kuongoza.

Huyu nayeeee ndo nn???
 
Hii awamu unazidi kuwa na viongozi vichaa Kila siku.ikitokea kiongozi wa dini akaongelea mambo ya kutekwa watanzania anaanza kushambuliwa Kwa kuambiwa anachanganya siasa nadini lakini wao wanaleta ukichaa wao.
 
1730884929358.jpeg

1730884971818.jpeg

Picha maktaba : Rais Samia akishangaa haiba ya baadhi ya wateule wake wakipewa nafasi kuongea.
 
Sisi waislamu tumepata faida kubwa kwa kipindi hiki kifupi. Dini yetu na Mungu wetu wamesaidia mmoja wa waumini wetu ameshika uongozi wa Nchi yetu. Kama mama huyu asingekuwa ametengenezwa vizuri kwenye imani na dini ya kiislamu yenye mafunzo sahihi dunia isingemuona anafaa kuwa kiongozi.

Matarajio yangu wanaopaswa kuanza kumsema mema Rais wa Tanzania ni ninyi waislamu, wakati mwingine inashangaza sana unapokuta muislamu safi anakuwa kinara wa kumsema ovyo Rais Samia ambaye ni chimbuko la imani yenu.

Mnapaswa mjivunie, mijidai na mnapaswa kumwambia Mungu kijiti hiki akishikilie vizuri kwakuwa akishindwa ni tusi kwa waislamu wote kuwa hawawezi kuongoza.

Huyu ni moja ya mfano wa uwezo wa Samia kuongoza Taifa.

He is imbecile from the beginning
 
Back
Top Bottom