Pre GE2025 Albert Chalamila: Inashangaza muislamu safi anakuwa kinara wa kumsema ovyo Rais Samia

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Sisi waislamu tumepata faida kubwa kwa kipindi hiki kifupi. Dini yetu na Mungu wetu wamesaidia mmoja wa waumini wetu ameshika uongozi wa Nchi yetu. Kama mama huyu asingekuwa ametengenezwa vizuri kwenye imani na dini ya kiislamu yenye mafunzo sahihi dunia isingemuona anafaa kuwa kiongozi.

Matarajio yangu wanaopaswa kuanza kumsema mema Rais wa Tanzania ni ninyi waislamu, wakati mwingine inashangaza sana unapokuta muislamu safi anakuwa kinara wa kumsema ovyo Rais Samia ambaye ni chimbuko la imani yenu.

Mnapaswa mjivunie, mijidai na mnapaswa kumwambia Mungu kijiti hiki akishikilie vizuri kwakuwa akishindwa ni tusi kwa waislamu wote kuwa
Anamaanisha kwa kuwa yy mkriisto hampendi Rais huyu ni mnafiki na mchonganishi hafai kuwa kiongozi
 
Sisi waislamu tumepata faida kubwa kwa kipindi hiki kifupi. Dini yetu na Mungu wetu wamesaidia mmoja wa waumini wetu ameshika uongozi wa Nchi yetu. Kama mama huyu asingekuwa ametengenezwa vizuri kwenye imani na dini ya kiislamu yenye mafunzo sahihi dunia isingemuona anafaa kuwa kiongozi.

Matarajio yangu wanaopaswa kuanza kumsema mema Rais wa Tanzania ni ninyi waislamu, wakati mwingine inashangaza sana unapokuta muislamu safi anakuwa kinara wa kumsema ovyo Rais Samia ambaye ni chimbuko la imani yenu.

Mnapaswa mjivunie, mijidai na mnapaswa kumwambia Mungu kijiti hiki akishikilie vizuri kwakuwa akishindwa ni tusi kwa waislamu wote kuwa hawawezi kuongoza.

Sisi hatumchagui mtu kutokana na dini yake wala kabila lake. Tunamchagua mtu ayelinda rasilimali za nchi anayechukia rushwa na wala rushwa---By Nyerere
 
CHALAMILA ALIVYOINGILIA ENEO PANA LA KIIMANI

Itikadi ya kiislamu katika masuala ya kuomba uongizi ni tofauti na mfumo wa uongozi wa kimagharibi au ule unaoitwa demokrasia, mwanazuoni afafanua

View: https://m.youtube.com/watch?v=Jpf8BYsVLYY

Mtu hajipeleki kuomba uongozi na kwa mujibu wa hadithi za Mtume ni fedhea na maumivu kuomba uingozi, hili tendo la kuomba uongozi ni ukafiri kwa mujibu wa imani ya kiIslamu ...
 
Kumbe chalamila ni muislam?
 
Ngoja nipekue file lake la mirembe,nione daktari alishauri nini!
 
Nchii hii nahisi imeshalaaniwa, maana kama haijalaaniwa tusingeweza kuwa na viongozi wenye akili za kipuuzi namna hii
 
Kazingua parefu anataka tusapoti na penye ujinga , tukianza kuisapoti kwa kigezo cha dini tunapotea vibaya
 
Mimi mara nyingi nasemaga muslims uwezo wao wa kufikiri ni mdogo sana,kila kitu dini inakua mbele
Sasa hapa waislamu wanahusika je mkuu mbona msemaji ameropoka na sio muislam japo kazingua
 
Sisi waislamu tumepata faida kubwa kwa kipindi hiki kifupi. Dini yetu na Mungu wetu wamesaidia mmoja wa waumini wetu ameshika uongozi wa Nchi yetu. Kama mama huyu asingekuwa ametengenezwa vizuri kwenye imani na dini ya kiislamu yenye mafunzo sahihi dunia isingemuona anafaa kuwa kiongozi.

Matarajio yangu wanaopaswa kuanza kumsema mema Rais wa Tanzania ni ninyi waislamu, wakati mwingine inashangaza sana unapokuta muislamu safi anakuwa kinara wa kumsema ovyo Rais Samia ambaye ni chimbuko la imani yenu.

Mnapaswa mjivunie, mijidai na mnapaswa kumwambia Mungu kijiti hiki akishikilie vizuri kwakuwa akishindwa ni tusi kwa waislamu wote kuwa hawawezi kuongoza.

Nyimwa vyote lakini sio akili
 
Kichwa kifuniko cha mabega 🤣 ,hizi ndio hazina za CCM
20241106_115134.jpg
 
Afrika tuna safari ndefu sana...
 
Ila wakristo watateseka sana, kwani sioni namna samia anaacha urais kabla ya 2030, labda uhai umalizike,

Na 2030 ndio rasmi zamu ya muislamu kwani mama alikua anamalizia tu awamu ya mgalatia

Dah, kweli kazi ipo
Taabu lelelelelelle
Hehe 2030 wagalatia mwanzo mwisho.....tupo hapa....hii imeshahesabika awamu nyingine
 
Back
Top Bottom