Pre GE2025 Albert Chalamila: Inashangaza muislamu safi anakuwa kinara wa kumsema ovyo Rais Samia

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Anamaanisha kwa kuwa yy mkriisto hampendi Rais huyu ni mnafiki na mchonganishi hafai kuwa kiongozi
 
Sisi hatumchagui mtu kutokana na dini yake wala kabila lake. Tunamchagua mtu ayelinda rasilimali za nchi anayechukia rushwa na wala rushwa---By Nyerere
 
CHALAMILA ALIVYOINGILIA ENEO PANA LA KIIMANI

Itikadi ya kiislamu katika masuala ya kuomba uongizi ni tofauti na mfumo wa uongozi wa kimagharibi au ule unaoitwa demokrasia, mwanazuoni afafanua


View: https://m.youtube.com/watch?v=Jpf8BYsVLYY
Mtu hajipeleki kuomba uongozi na kwa mujibu wa hadithi za Mtume ni fedhea na maumivu kuomba uingozi, hili tendo la kuomba uongozi ni ukafiri kwa mujibu wa imani ya kiIslamu ...
 
Kumbe chalamila ni muislam?
 
Ngoja nipekue file lake la mirembe,nione daktari alishauri nini!
 
Nchii hii nahisi imeshalaaniwa, maana kama haijalaaniwa tusingeweza kuwa na viongozi wenye akili za kipuuzi namna hii
 
Kazingua parefu anataka tusapoti na penye ujinga , tukianza kuisapoti kwa kigezo cha dini tunapotea vibaya
 
Mimi mara nyingi nasemaga muslims uwezo wao wa kufikiri ni mdogo sana,kila kitu dini inakua mbele
Sasa hapa waislamu wanahusika je mkuu mbona msemaji ameropoka na sio muislam japo kazingua
 
Nyimwa vyote lakini sio akili
 
Afrika tuna safari ndefu sana...
 
Ila wakristo watateseka sana, kwani sioni namna samia anaacha urais kabla ya 2030, labda uhai umalizike,

Na 2030 ndio rasmi zamu ya muislamu kwani mama alikua anamalizia tu awamu ya mgalatia

Dah, kweli kazi ipo
Taabu lelelelelelle
Hehe 2030 wagalatia mwanzo mwisho.....tupo hapa....hii imeshahesabika awamu nyingine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…