Nini hujaelewa hapo.Umeeleza vizuri kwamba mkuu wa mkoa wa Dar,kasema kama kuna Uzembe wako tayari kuwajibishwa,mara Tena mama! Sikuelewi!
Ajiuzulu kwa kosa lipi.Kama kweli anania ya kuwajibika Basi ajiuzulu pamoja na bosi wake.hilo jengo limeanguka Kwa kuwa hakuna usimamizi wa madhubuti katika ujenzi.ujenzi holela usiofuata taratibu za ujenzi hauzingatiwi Leo hii mtu ukiwa na pesa nyingi unaweze kuuziwa shule na ukabomoa na ukajenga ghorofa lako la ghorofa ishirini Kwa muda wa siku Tano tu.Watanzania tu ataka mama Yao ajiuzulu
Toa utoto wako hapa weweNCHI IMEOZA TAIFA LINATEKETEA.
CCM INAITAFUNA NCHI.
MIAKA 65 YA UHURU HAKUNA VIFAA VYA MAANA KUOKOA WATANZANIA KWENYE MAJANGA.
WANANUNUA MABOMU YA KUWAPIGA CHADEMA.
SHAME,
Toa utoto wako hapa wewe
Ndugu zangu Watanzania,
View attachment 3155364
Hayo ni maneno ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mheshimiwa Albert Chalamila akizungumza hivi leo.kuwa uongozi wa Mkoa upo Tayari kuwajibika Ikigundulika kuwa kuna uzembe umefanyika katika kuwaokoa wale waliokuwa wameangukiwa na jengo na hatimaye kupoteza Maisha.
Ameendelea kusema kuwa yeye anaamini ya kuwa juhudi kubwa zimefanyika katika kutekeleza wajibu wa kuwaokoa wale waliokuwa wamenasa chini baada ya kuangukiwa na jengo hilo.
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Ww ndio unababaikia hao viongozi, sisi wengine tunawaona ni majizi tu.Usifikirie wote ni wavuta bangi kama wewe.uwe na adabu kwa viongozi na siyo kujiropokea tu kama mlevi
Nilambiagwa wewe ni tahira nikabisha ilaleo nimeaminiNdugu zangu Watanzania,
View attachment 3155364
Hayo ni maneno ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mheshimiwa Albert Chalamila akizungumza hivi leo.kuwa uongozi wa Mkoa upo Tayari kuwajibika Ikigundulika kuwa kuna uzembe umefanyika katika kuwaokoa wale waliokuwa wameangukiwa na jengo na hatimaye kupoteza Maisha.
Ameendelea kusema kuwa yeye anaamini ya kuwa juhudi kubwa zimefanyika katika kutekeleza wajibu wa kuwaokoa wale waliokuwa wamenasa chini baada ya kuangukiwa na jengo hilo.
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Sio kuwajibika kisiasa tu lakini pamoja na kukabili mashitaka ya kijinai kwa kutoa vibali kutanua vyumba chini ya ardhi kwenye kitako cha ghorofa na kuvunja baadhi ya nguzo wakati watu wakiendelea na shughuli za kibiashara ndani ya jengo hilo hatarishi.Ndugu zangu Watanzania,
View attachment 3155364
Hayo ni maneno ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mheshimiwa Albert Chalamila akizungumza hivi leo.kuwa uongozi wa Mkoa upo Tayari kuwajibika Ikigundulika kuwa kuna uzembe umefanyika katika kuwaokoa wale waliokuwa wameangukiwa na jengo na hatimaye kupoteza Maisha.
Ameendelea kusema kuwa yeye anaamini ya kuwa juhudi kubwa zimefanyika katika kutekeleza wajibu wa kuwaokoa wale waliokuwa wamenasa chini baada ya kuangukiwa na jengo hilo.
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Matusi ni dalili ya kwamba umechanganyikiwaMATAHIRA KAMA NYIE NDIO UOZO WA TAIFA.
SEHEMU KAMA ILE NI YA KUOKOA WATU KWA SIKU TATU??????
FICHA UPUMBAVU UBWA WEWE.
Huwa unampa wewe hiyo bangi yako?Tulia wewe kibwengo huyo bwege ni mvuata bangi mzuri tu.
Me mleviWewe ni mnywaji au mlevi?