Albert Chalamila: Tupo Tayari Kuwajibika Ikigundulika kuna uzembe uliofanyika kusababisha kupoteza Maisha kwa walioangukiwa na Jengo Kariakoo

Kama kweli anania ya kuwajibika Basi ajiuzulu pamoja na bosi wake.hilo jengo limeanguka Kwa kuwa hakuna usimamizi wa madhubuti katika ujenzi.ujenzi holela usiofuata taratibu za ujenzi hauzingatiwi Leo hii mtu ukiwa na pesa nyingi unaweze kuuziwa shule na ukabomoa na ukajenga ghorofa lako la ghorofa ishirini Kwa muda wa siku Tano tu.Watanzania tu ataka mama Yao ajiuzulu
 
NCHI IMEOZA TAIFA LINATEKETEA.

CCM INAITAFUNA NCHI.

MIAKA 65 YA UHURU HAKUNA VIFAA VYA MAANA KUOKOA WATANZANIA KWENYE MAJANGA.

WANANUNUA MABOMU YA KUWAPIGA CHADEMA.

SHAME,
 
Kama kweli anania ya kuwajibika Basi ajiuzulu pamoja na bosi wake.hilo jengo limeanguka Kwa kuwa hakuna usimamizi wa madhubuti katika ujenzi.ujenzi holela usiofuata taratibu za ujenzi hauzingatiwi Leo hii mtu ukiwa na pesa nyingi unaweze kuuziwa shule na ukabomoa na ukajenga ghorofa lako la ghorofa ishirini Kwa muda wa siku Tano tu.Watanzania tu ataka mama Yao ajiuzulu
Ajiuzulu kwa kosa lipi.
 
Ndugu zangu Watanzania,

View attachment 3155364

Hayo ni maneno ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mheshimiwa Albert Chalamila akizungumza hivi leo.kuwa uongozi wa Mkoa upo Tayari kuwajibika Ikigundulika kuwa kuna uzembe umefanyika katika kuwaokoa wale waliokuwa wameangukiwa na jengo na hatimaye kupoteza Maisha.

Ameendelea kusema kuwa yeye anaamini ya kuwa juhudi kubwa zimefanyika katika kutekeleza wajibu wa kuwaokoa wale waliokuwa wamenasa chini baada ya kuangukiwa na jengo hilo.

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.

Kwa utaratibu huyu ni chawa tu hana hata budget yeyote ya maana. Mama ndiye anatoa bilioni 100 za vifaa vya uchaguzi kwa Polisi na mawasha washa yakumuweka madarakani lakini Polisi wanaenda kuokoa kwa virungu
 
Kwenye Hizi Mada Zenu Acheni Na Mkome Kuihusianisha Bangi na Upuuzi Wenu
 
Ndugu zangu Watanzania,

View attachment 3155364

Hayo ni maneno ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mheshimiwa Albert Chalamila akizungumza hivi leo.kuwa uongozi wa Mkoa upo Tayari kuwajibika Ikigundulika kuwa kuna uzembe umefanyika katika kuwaokoa wale waliokuwa wameangukiwa na jengo na hatimaye kupoteza Maisha.

Ameendelea kusema kuwa yeye anaamini ya kuwa juhudi kubwa zimefanyika katika kutekeleza wajibu wa kuwaokoa wale waliokuwa wamenasa chini baada ya kuangukiwa na jengo hilo.

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Nilambiagwa wewe ni tahira nikabisha ilaleo nimeamini
 
Sio kuwajibika kisiasa tu lakini pamoja na kukabili mashitaka ya kijinai kwa kutoa vibali kutanua vyumba chini ya ardhi kwenye kitako cha ghorofa na kuvunja baadhi ya nguzo wakati watu wakiendelea na shughuli za kibiashara ndani ya jengo hilo hatarishi.
 
Back
Top Bottom