soine
JF-Expert Member
- Nov 22, 2010
- 2,113
- 2,329
Dunia inaenda kasi sana, hivyo hivyo technolojia na ugunduzi wa mashine na vifaa mbalimbali.
Kasi ya ukuaji wa science na silaha za maangamizi kama atomic bomb wakati uhai wake ulimfanya Albert Einstein kushindwa kujua vita vya 3 vya dunia zitakuwepo silaha gani za kivita. Leo hii AI, defensive systems, Robotics and Autonomous systems, internet of military&cyber warfare, big data analytics na makorokocho kibao.
Dunia inapiga nuclear plus biological weapons. North korea, Iran na Syria wanashambuliwa pale wanapotaka kuwa na nuclear.
Uwepo wa silaha nyingi na hatari imepelekea ugunduzi wa mifumo au silaha za kujikinga na mashambulizi. Huko Ukraine tunaona uharibifu mkubwa, majuzi waasi walijaribu kurusha makombora Israelila asilimia kubwa yalitunguliwa.
Huenda Einstein aliona mbali. Huenda itafika miaka ambayo hakuna nyuklia...na silaha nyingine zitakuwa hazifanyi kazi. Hivyo, dunia itarudi kwenye zana za mawe!!
Kumbuka kiutamaduni hasa mavazi tulishaanza kurudi kutembea watupu!!