Albert Mangwea (Special Thread)

Albert Mangwea (Special Thread)

Mkuu nimependa comments zako lkn pamoja na mleta mada. Unajua sisi Watanzania hasa kizazi chetu kipya hiki ni waajabu sana. Yaani tunapenda kupakana mafuta kwa migongo ya chupa. Yani mtu anapambwa kwa sifa za ajabu mpaka unajiuliza huyu mtu kitu gani cha ajabu alichokifanya kwa watanzania hukioni. Mtu kafa kwa kuzidisha starehe lakini watu wanajifanya kupamba na kukwepesha ukweli. HUU NI UNAFIKI WA HALI YA JUU KABISA. Call a spade ''SPADE''. tuache unafiki, huyu kafa kwa madawa ya kulevya, isemwe hivyo na siyo kupamba ujinga. Hakuna alilotufundisha zuri huyu na wengine wenye tabia kama hizo. Starehe huwezi kuzikomesha, kinyume chake zitakukomesha. Tumwombee kheri Mungu amsamehe makosa yake na sisi pia tulio nyuma yake

1.jpg

LULU3.jpg

wema+3.jpg

427884_397250143676240_471727957_n.jpg

Haya ndio maisha yao, halafu wakifa vifo vya kipumbavu bado wanasifiwa. Huu ni upotofu. Huyo mtoto kafa kipumbavu kwa kukosa maonyo, full stop.

Hawa waliopo pichani nafsi zao tayari ni mfu ndio maana miili yao inadhalilika na haina wa kuwatetea
 
Mkuu nimekuelewa ila kumbuka:
Golikipa ukizuia dak 89 na ukaachia kizembedak ya 90 unataoneka mpumbavu mara mia ungefanya huo uzembe za mwanzoni, me na shuhuda 1 ambaye alikuw jiran kijiwe cha ngwea na wenzie walipokuwa wana vuta na kutumia madawa, sasa jiulize ni vijana wangap wameshapotea kw matumiz ya madawa?
Mkuu tafakar ki undanna sio juu juu, yeye angalau alikuw na uwezo kidogo ndio hata akaish kidogo, je hao alikuw nao hawana uwezo unajua wako wapi? Mungu atusamehe na tujitambue.
Kwa maana hiyo unataka kusema yeye ndo aliwavuta vijana waje kutumia hayo madawa? au hapo kijiweni walikuwa wanafanya campaign ya kuwaita waje kutumia? Sioni mantiki ya kumhusisha moja kwa moja hili
 
Sioni umuhimu wa kumwita aliyetangulia mbele za haki "mhuni". After all Mwenyezi Mungu hajakupa hayo mamlaka ya kuhukumu. Unaweza ukajiona wewe sio mhuni lakini una mapungufu yako makubwa tu ambayo nayo yanatasfiriwa ni uhuni na wanaokujua.

Kinachokusumbua wewe ni hofu ya kifo. Muhuni ni Muhuni tu, awe amekufa au mzima. Nikukumbushe kuwa wewe ni roho yenye mwili na sio mwili wenye roho. Hatma yako hapa duniani inategemea huo mwili, lakini roho yako ina safari ndefu.

Sikuyasema haya kwamba mimi sina dhambi, lakini nakuhakikishia kufa hakuondoi sifa mbaya ya mtu.

427884_397250143676240_471727957_n.jpg

Huyu akifa nimuiteje? Mtakatifu?

Usinitolee mimi mifano ukidhani ninaogopa kufa. Kama nikifa ulevini mimi ni muhuni tu, hata wanangu wanapaswa kuelewa kuwa baba amekufa kwa upumbavu wake.

Masuala ya Mungu kunipa haki ya kuhukumu hiyo ni tafsiri ya kijinga ya maneno ya Mungu. Nakuonya wewe usiye na akili unaniambia nahukumu. Namhukumu nani? Ni lipi zito, mimi kusema fulani ni malaya au yeye mwenyewe kufanya umalaya?
 
Sioni umuhimu wa kumwita aliyetangulia mbele za haki "mhuni". After all Mwenyezi Mungu hajakupa hayo mamlaka ya kuhukumu. Unaweza ukajiona wewe sio mhuni lakini una mapungufu yako makubwa tu ambayo nayo yanatasfiriwa ni uhuni na wanaokujua.

we nawe wale wale tu.. Hujui tofauti kati ya kosa na hukumu ya kosa.... Kwa mfano, mvuta bangi ni muhuni (kosa) lakini muhuni ataingia motoni (hukumu)... Na awe kafa au mzima, kama alikuwa muhuni hakuna tofauti... Unachoonyesha hapa ni woga wako kwa aliyekufa...
 
Kwa maana hiyo unataka kusema yeye ndo aliwavuta vijana waje kutumia hayo madawa? au hapo kijiweni walikuwa wanafanya campaign ya kuwaita waje kutumia? Sioni mantiki ya kumhusisha moja kwa moja hili

Hapo kwenye bold ndio kwenye jibu.

Kwa nini tunakemea? Labda nijijibu hili swali kwa manufaa yako: Tunakemea kwa sababu nyuma ya maisha ya kihuni ya marehemu kuna watu wengi mpo nyuma yake ambao hamuoni mabaya yake bali mnatamani umaarufu wake na fahari zake.

Wingi wa vijana waliokuwa kwenye msiba wake unaondoka na tafajuri isiyo na manufaa kwao badala ya kujifunza kwamba alichofanya marehemu ni upumbavu. Sasa kama una jina jipya la kitendo cha kuishi kwa mtindo huu kwenye picha, nipe na mimi hilo jina ili mkifa tuwaite kwa jina hilo badala ya kuwaita wapumbavu.

excess-alcohol-early-death.jpg

Ukifa hapa ili nisiwe nimekuhukumu, nikuiteje?
 
  • Thanks
Reactions: mzm
Kinachokusumbua wewe ni hofu ya kifo. Muhuni ni Muhuni tu, awe amekufa au mzima. Nikukumbushe kuwa wewe ni roho yenye mwili na sio mwili wenye roho. Hatma yako hapa duniani inategemea huo mwili, lakini roho yako ina safari ndefu.

Sikuyasema haya kwamba mimi sina dhambi, lakini nakuhakikishia kufa hakuondoi sifa mbaya ya mtu.

Huyu akifa nimuiteje? Mtakatifu?

Usinitolee mimi mifano ukidhani ninaogopa kufa. Kama nikifa ulevini mimi ni muhuni tu, hata wanangu wanapaswa kuelewa kuwa baba amekufa kwa upumbavu wake.

Masuala ya Mungu kunipa haki ya kuhukumu hiyo ni tafsiri ya kijinga ya maneno ya Mungu. Nakuonya wewe usiye na akili unaniambia nahukumu. Namhukumu nani? Ni lipi zito, mimi kusema fulani ni malaya au yeye mwenyewe kufanya umalaya?

Mkuu sidhani kama kuna haja ya kutoa maneno makali na yasiyo na staha eti nisiye na akili, tasfiri ya kijinga, unanionya etc! wastaarabu huwa wanatumia hoja na sio maneno ya namna hii. Unless unataka kuniaminisha kuwa wewe sio mstaarabu. Narudi kwenye Hoja, Unauliza unamhukumu nani? Kwa michango yako umetoa hukumu kuwa the deceased ni Mhuni na by implication conducts zake sio safi. Ndipo ninapokuuliza wewe una mamlaka yapi ya kutoa hukumu? Hujanijibu zaidi ya kusema hii ni tasfiri yangu ya kijinga.
 
we nawe wale wale tu.. Hujui tofauti kati ya kosa na hukumu ya kosa.... Kwa mfano, mvuta bangi ni muhuni (kosa) lakini muhuni ataingia motoni (hukumu)... Na awe kafa au mzima, kama alikuwa muhuni hakuna tofauti... Unachoonyesha hapa ni woga wako kwa aliyekufa...

Yes mkuu, this is what I wanted to tell him/her ila nikashindwa kujieleza. Kinachomsumbua ni tafsiri na hofu. Mimi naamini tunapaswa kuonyana na kukemeana na sio kusifiana ujinga.

Hawa vijana siku hizi mambo wanayoiga ni yale yanayodhalilisha na kutweza utu wa mwanaume. Hivi kuna umuhimu na impact gani kimuziki mtu kuvaa suruali chini ya makalio kiasi mtawanyiko wa makalio uwe unaonekana?

Nina kamoyo fulani kabaya ka kidikteta, kamwe sipaswi kuwa kiongozi manake watu wengi wataopt kujiua kuliko kukabiliana na hasira zangu. Mimi kwangu mtu mpumbavu ni mpumbavu tu awe hai au mfu. Upumbavu hukoma pale mhusika anapokoma kuufanya, full stop!
 
we nawe wale wale tu.. Hujui tofauti kati ya kosa na hukumu ya kosa.... Kwa mfano, mvuta bangi ni muhuni (kosa) lakini muhuni ataingia motoni (hukumu)... Na awe kafa au mzima, kama alikuwa muhuni hakuna tofauti... Unachoonyesha hapa ni woga wako kwa aliyekufa...

Sasa wewe unachongea kwenye mfano huu ni kipi? kosa ni kuwa mhuni au kosa ni kuvuta bangi? kaa chini rudia kuutazama mfano wako upya
 
Mkuu sidhani kama kuna haja ya kutoa maneno makali na yasiyo na staha eti nisiye na akili, tasfiri ya kijinga, unanionya etc! wastaarabu huwa wanatumia hoja na sio maneno ya namna hii. Unless unataka kuniaminisha kuwa wewe sio mstaarabu. Narudi kwenye Hoja, Unauliza unamhukumu nani? Kwa michango yako umetoa hukumu kuwa the deceased ni Mhuni na by implication conducts zake sio safi. Ndipo ninapokuuliza wewe una mamlaka yapi ya kutoa hukumu? Hujanijibu zaidi ya kusema hii ni tasfiri yangu ya kijinga.

-Kuonya si neno kali, maana yake kutahadharisha.
-Ujinga ni hali ya kupungukiwa ufahamu na hilo sikulisema kwa bahati mbaya, nitarudia tena ni tafsiri ya kijinga, yaani tafsiri iliyotolewa katika upungufu wa ufahamu.
-kukosa akili sio dhambi, ni yale yale ya ujinga na ni tatizo unalo, sio kama nimekutukana.

Nikirudi kwenye mada: Mimi sijatoa hukumu kuwa deceased ni muhuni, nimeeleza. Sifa aliyonayo mtu ikitajwa si kwamba anakuwa amehukumiwa. Ndio maana nikakuwekea picha na kukuuliza huyo mwanamke aliyeko uchi hapo jukwaani, akifa kesho, je ili nisionekane nimemhukumu nimuiteje?
 
Sasa wewe unachongea kwenye mfano huu ni kipi? kosa ni kuwa mhuni au kosa ni kuvuta bangi? kaa chini rudia kuutazama mfano wako upya

Sasa ulibisha nini nilivyokwambia wewe ni mjinga? Hapo ulichoshindwa kuelewa ni nini na unauliza nini?

Mtu akivuta BANGI, huyo siyo muhuni? Au wewe uhuni unauelewaje?
 
mangwea hakua significant, ni mmoja wa vijana walionyonywa na kuingia kwenye mikumbo ya madawa sema tu amekufa wakati kuna timbwili ya clouds na jide basi wakatumia marehemu kama mtaji wa ligi yao... na akina sie nao bila kuwaza wala nini tukadndia treni kwa mbele sasa limefika kituoni ndio tunaanza kujiuliza
 
Sasa ulibisha nini nilivyokwambia wewe ni mjinga? Hapo ulichoshindwa kuelewa ni nini na unauliza nini?

Mtu akivuta BANGI, huyo siyo muhuni? Au wewe uhuni unauelewaje?

Nadhani tatizo lako ni kudandia gari kwa mbele halafu huangalii nini kinachojadiliwa. Anyway kwa maneno unayoyatumia siwezi kuendelea kurudishiana maneno nawe maana unaonekana bado ni mtoto au kijana mdogo. Hizi lugha zako nenda nazo huko huko facebook. I don't wanna waste my time because I'll also be like you.
 
Unapo onya hutakiwi kubembeleza, wara kuangalia wingi wa watu, hata nabii ELIYA alibaki pekeyake watuote wakaenda upande wa mungu baari, BWANA wetu YESU alipo waambia Mafarisayo wapumbavu ninyi wenyekuchuja Mbu na kumeza Ngamia hakuwa anacheka.
 
Nini kilisababisha Ngwea abwie unga.?
 
Nadhani tatizo lako ni kudandia gari kwa mbele halafu huangalii nini kinachojadiliwa. Anyway kwa maneno unayoyatumia siwezi kuendelea kurudishiana maneno nawe maana unaonekana bado ni mtoto au kijana mdogo. Hizi lugha zako nenda nazo huko huko facebook. I don't wanna waste my time because I'll also be like you.

Wastage of time....huh!

Wewe hata utembelee meno huwezi kuwa na umri wangu na ndio maana unaakili za kipuuzi za kudhania kwamba mtu akifa basi uhuni wake unasahaulika.

Hitler alikuwa muuaji na dunia nzima inajua. Baada ya Hitler kufa, kumuita Hitler muuaji ni kumhukumu?

Una shida ya ubongo,
Una shida ya umri
Una shida ya lugha
Una shida ya uoga.

Marehemu hawi mwema eti sababu amekufa. Sympathetic heart belongs to women, beware of that! Usiwe emotionally moved like a school girl. Nimekuwekea picha pale ya mdada yupo uchi, nikakuuliza swali kwamba akifia pale jukwaani na kale kanguo kama inzi, ninapaswa kumuitaje yule ili niwe sijamhukumu? Badala ya kujibu maswali unakuja na stori za face book
 
ngwair maskini ,,,,,am sure alivofika mbele akapewa kitu cha kukata hangover kwanza afu akahojiwa amefuata nini wakati mashabiki bado 2namfeel
 
Masikini TANGANYIKA unapotea kwa kukosa maarifa na kupungukiwa utukufu wa Mungu, vijana wanao kulia vijiweni, wenyekiburi, wazinzi, wafiraji, wasiotii, waongo,wenyekupenda pesa (unga) kuliko kumupenda Mungu. Baba twaomba rehema zako zituokoe zambini
 
Back
Top Bottom