Mwana Mtoka Pabaya
JF-Expert Member
- Apr 22, 2012
- 15,118
- 16,485
Mkuu nimependa comments zako lkn pamoja na mleta mada. Unajua sisi Watanzania hasa kizazi chetu kipya hiki ni waajabu sana. Yaani tunapenda kupakana mafuta kwa migongo ya chupa. Yani mtu anapambwa kwa sifa za ajabu mpaka unajiuliza huyu mtu kitu gani cha ajabu alichokifanya kwa watanzania hukioni. Mtu kafa kwa kuzidisha starehe lakini watu wanajifanya kupamba na kukwepesha ukweli. HUU NI UNAFIKI WA HALI YA JUU KABISA. Call a spade ''SPADE''. tuache unafiki, huyu kafa kwa madawa ya kulevya, isemwe hivyo na siyo kupamba ujinga. Hakuna alilotufundisha zuri huyu na wengine wenye tabia kama hizo. Starehe huwezi kuzikomesha, kinyume chake zitakukomesha. Tumwombee kheri Mungu amsamehe makosa yake na sisi pia tulio nyuma yake
Haya ndio maisha yao, halafu wakifa vifo vya kipumbavu bado wanasifiwa. Huu ni upotofu. Huyo mtoto kafa kipumbavu kwa kukosa maonyo, full stop.
Hawa waliopo pichani nafsi zao tayari ni mfu ndio maana miili yao inadhalilika na haina wa kuwatetea