ni kweli yeye amekufa kwa kula unga, hiyo ni dhambi, lakini wewe unayeihukumu hadi maiti una usafi gani? Yawezekana kabisa wewe ni mzinzi wa kutupwa, ama ni mwizi, ama mlevi wa pombe, ama ni mwongo au mmbea, zote hz ni dhambi kama ilivyo kula unga, ninachokuomba kwanza usihukumu usije ukahukumiwa pili jaribu kutumia lugha nzuri na tatu elewa hakuna mkamilifu.kwa maoni yangu mi nilitaka maiti yake ichapwe viboko ili liwefundisho kwa mateja ote na wanao taka kuingia ktk mkumbo huo, binafsi hakuna jema nililo jifunza kwake kamakweli alikufa kwa madawa.
ni kweli yeye amekufa kwa kula unga, hiyo ni dhambi, lakini wewe unayeihukumu hadi maiti una usafi gani? Yawezekana kabisa wewe ni mzinzi wa kutupwa, ama ni mwizi, ama mlevi wa pombe, ama ni mwongo au mmbea, zote hz ni dhambi kama ilivyo kula unga, ninachokuomba kwanza usihukumu usije ukahukumiwa pili jaribu kutumia lugha nzuri na tatu elewa hakuna mkamilifu.
Alitamani angekuwepo sema tu alikuwa kwa akina Nitashika Yakonyuma, akirudi lazima afike Moro...
Ilipaswa. Public Figure na atumike kuelimisha. Au wewe unadhani ni jambo jema kumsifia Hitler baada ya kufa hata kama dunia nzima inajua alikuwa muuaji?hivi mnategemea watangaze kwenye vyombo vya habari kua alifariki kwa kutumia dawa za kulevya zenye sumu au pombe kali au kingine chochote chenye picha mbaya kwa jamii?
Kwa kuwa wanayafahamu maisha yake. Leo hii tunavyoongea, kuna mwingine mnamsifia majukwaani kwamba anabadili wanawake, akifa kesho na yeye mumsifie kuwa alikuwa mtu mzuri sana. Wakati anaishi maisha ya chini huko Tandale alikuwa salama, sasa kapata fedha anahatarisha maisha yake na kuwa mfano mbaya, we call him 'The King'kwa maneno ya chini chini kwa nini watu wameropokea madawa na sio pizza yenye sumu? Inamaana hawakuona vitu vingine vya kusingizia?
Atakuwa bize anaandaa presentation ya kuwaonya vijana kuwa madawa ni mabayamwisho kabisa bado najiuliza kwa upeo wangu mdogo wa kifikra bado sijaona picha ya dada yetu msibani aliesaidiwa na kaka mkuu kurudia hali ya kawaida baada ya kua muathirika wa yale mavituzi.
Na ningemshangaa angekwenda kuzika wahuni akaacha kazi yake ya safari zisizo na mwisho wala maslahi. Tusikengeuke tukawa kama wazungu, kwa akili kama hizi ndio leo tuna Sir Elton John ambaye ni mke wa mtu. Naye akifa, mtataka heshima kwake
no one is perfect ..hata wew una mabaya yako...na kuhusu taarifa za Ngwea kufa kwa madawa huyo ni uzushi...m2 the p hatumii madawa na mbona alipotea fahamu?wabongo achen ushamba wa kuzusha zusha...R.i.p Ngwea
Nitafanya nini? Hahaha... Baba V umeniacha hoi.
Shida yetu Watanzania ni UNAFIKI na kupenda kuambiwa maneno matamu huku ukweli TUNAUKATAA.
Hawa watoto tabia zao tunazijua. Tuachane na marehemu, keshaenda, sasa hivi tunaye huyu Diamond anayetoboa masikio na kuvaa ------ yako nje. Hakuna anayemkemea, ni kumsifia na kumsujudia kila anapopanda jukwaani. Siku atakapokufa, ndio tunakumbuka kuwa Mungu ni mkubwa kuliko Diamond na hapo hapo tunasahau kwamba Mungu haamrishwi.
Haka kamsemo kenu kachafu ka R.I.P kwa watu ambao uchafu wao u dhahiri ni masihara. Ni vyema kumuombea rehema na sio kumwambia Mungu amuweke mahali pema peponi. Kuna mmoja wetu ana mchango wa tofali kwenye ujenzi wa hiyo pepo?
Na wewe Black Bat, unapoambiwa matatizo yako dawa ni kuyaacha na sio kutafuta mifano kwenye matatizo ya mtu mwingine. Kama Michael Jackson hakuwa mwema sio kigezo cha Mtanzania mwenzetu Diamond kuweka ------ nje na kujichubua.
Ngwea na mwenzie M2 the P walilishwa sumu....
unadhani ukiandika maneno makali ya dharau na kebeh ndio utaeleweka, wewe huiwezi kazi ya ushauri japo una hoja za msingi..Don't be pathetic. Maana yangu ni hivi: Mwana Mtoka Pabaya nikafa kesho sababu ya uzinzi wangu, basi na muache upumbavu wa kunisifia ooh alikuwa anachangia sana JF, mara kila msiba anahudhuria na kadhalika. Badala yake, waambieni waliobaki kuwa, upumbavu ndio umemuua Mwana Mtoka Pabaya ...........
Maiti ni nini wewe mbona hujitambui? Wewe ni roho yenye mwili na sio mwili mwenye roho. Tambua hatma yako iko mikononi mwako na sio kuongea maneno dhaifu yasiyojenga. Watoto wanazidi kuharibika kwa ajili jamii imejaa watu wenye akili kama zako.
Wengi wa mlioenda pale, mlienda pale kwa ujiko na fahari lkn sio tafakari ya tukio. Wote mnawaza kwamba Ngwea kazikwa na watu wengi, mnatamani pia, lkn hamuwazi kwamba amekufa kwa upumbavu ili mjiepushe. Ngwea hakufa kwa kukosa matibabu, Ngwea alikufa kwa FAHARI ZA DUNIA. Tufundishane na kukemeana na sio kuongea unafiki.
Ilipaswa. Public Figure na atumike kuelimisha. Au wewe unadhani ni jambo jema kumsifia Hitler baada ya kufa hata kama dunia nzima inajua alikuwa muuaji?
Kwa kuwa wanayafahamu maisha yake. Leo hii tunavyoongea, kuna mwingine mnamsifia majukwaani kwamba anabadili wanawake, akifa kesho na yeye mumsifie kuwa alikuwa mtu mzuri sana. Wakati anaishi maisha ya chini huko Tandale alikuwa salama, sasa kapata fedha anahatarisha maisha yake na kuwa mfano mbaya, we call him 'The King'
Atakuwa bize anaandaa presentation ya kuwaonya vijana kuwa madawa ni mabaya
Ngwea na mwenzie M2 the P walilishwa sumu....
Watanzania sisi ni wanafiki alivyokuwa mzma watu kimya tu wanamwangalia kwan walikuwa hawajui kuwa anabugia lakn kifo chake sasa watu eeeh radio ndo usiseme hata nymbo zke ameuza baada ya kifo.tujifunze mzik bla dawa inawezekana
unadhani ukiandika maneno makali ya dharau na kebeh ndio utaeleweka, wewe huiwezi kazi ya ushauri japo una hoja za msingi..