Albert Mangwea (Special Thread)

Albert Mangwea (Special Thread)

niko ndani ya club goddamnnn i do respect this kid
 
"wengine mnapenda sana vya kupewa ndo maana wengi wenu mnaishia kuchezewa mnamegwa mnaachwa na hata mkiolewa, ndoa inajaa visa na kuonewa na ukinletea kibesi tu asubuhi talaka kwenu, najua huna kitu zaidi ya begi lako (mfuko wa rambo)...."

Albert alikuaga mnoma jo!
 
We ni ----- na Zezeta mkubwa kama Mabwege na Mazezeta wengine.

wewe ndio zezeta namba moja, ulitaka aandike kukufurahisa wewe. kwani ngwair si kafa kwa kubwia unga? au kosa la marehemu condom?
 
wewe ndio zezeta namba moja, ulitaka aandike kukufurahisa wewe. kwani ngwair si kafa kwa kubwia unga? au kosa la marehemu condom?

kufa kwa kubwia unga, haiondoi mazuri alyoufanyia huu mziki. Acha kuruka ruka we binti.
 
"Sasa we una bati
usiku huu unenda wapi wakati hiyo bati
hata chai tu hupati,
asiye na kitu mi naona bora akabaki,
tusije mbele tukashikana mashati..."

suka eee
tuanzie masaki
mchizi kapiga simu yani kuna bonge la pati
 
Napenda " we Ngwair mbona huinekani?, vp hauna TV ,ungekuwa na faida nami ungeniona kwa 3D"

Kwenye wimbo No beef ft TID

Ni vi punchline na lyrics kama hizi, pamoja na tight delivery na production yenye akili bila kusahau impeccable storytelling skills vilivyonifanya nipende muziki wa Ngwear.

Ngwear alikuwa anaweza kukuhadithia siku ilivyoenda, mpaka washkaji wanampigia simu, mpaka anaenda Mbezi kwenye party ka watoto wa kishua, mpakavituko vya masela na madem.kwenye party, ukaona kama unaangalia movie au upo kwenye hiko party vile.
He was real hood with a wry sense of humor. And a larger than life personality, in.other words, a true star. Si star wa ku force kwa promotion.

All along while he wasn't only riding, he parallel parked on the track, like Jada said.

Something hard to duplicate.
 
cha kujivunia nilichonacho... kawaida yangu huwa sionekani kwa jicho... kwa mtu yeyote mi nakaa... mzima au kichaa... hata hao mnaowaita mapapaa... maza au sista du anayeng'aa.. sijali mwembamba au anambambataa.... #BADO NIMO/A.K.A. MIMI..... R.I.P
 
Rhymes galore.

Nikimsikiliza kwenye "Nipe dili" naona huyu mchizi obviously kadata kimtaa, lakini pia anaweza kuandika rhymes zenye akili kimataifa.

Vijana.wanaotoka sasa wana.mengi ya kunifunza kitoka kwenye positive side ya Ngwear. Regardless ya mengine.
 
wewe ndio zezeta namba moja, ulitaka aandike kukufurahisa wewe. kwani ngwair si kafa kwa kubwia unga? au kosa la marehemu condom?

topic haizungumzii kilichomuua bali mziki wake mzuri acha wivu wa kike!
 
Wengine niliwapata toka tangu nipo Dom ,wengine kwenye show nilipokwenda kuperfom, wachache wanajulikana mpaka home, lakini hakuna ambaye sikutumia condomu....

Mademu zangu wote mimi ninawazimia.
 
Rhymes galore.

Nikimsikiliza kwenye "Nipe dili" naona huyu mchizi obviously kadata kimtaa, lakini pia anaweza kuandika rhymes zenye akili kimataifa.

Vijana.wanaotoka sasa wana.mengi ya kunifunza kitoka kwenye positive side ya Ngwear. Regardless ya mengine.

"hata nikifa leo pengo langu halina spea" RIP Ngwair alikuwa afanye kimataifa tatizo ilikuwa poor management!
 
Back
Top Bottom