Albert Mangwea (Special Thread)

Albert Mangwea (Special Thread)

Namkumbuka kwa kufa akiwa ambwia unga. Amechangia kuharibu vijana kwa kuwa muuza unga,amechangia kuua nguvu kazi na kurudisha nyuma uchumi wa nchi. Hafai kukumbukwa kwa zuri lolote.

pumbavu sana mwanaizaya we tunazungumzia kazi yake ya muziki na si maisha yake binafsi watch out your words nyambaaaf..@#&*@!%$*!!!
 
nyi na madem nanyinyi
nsikilizeni kwa makini
hivi ni kwa nini mnakua hamjiamini
mnajua nyie mna nguvu zaidi ya sisi
mwanaume kwa demu ni km mfupa kwa fisi

Sina nia ya kubadili maadili siyo nnachopinga nyie kushikwa masikio,
sema tu hamjui umuhimu wenu ila leo ntawambia tu ila iwe siri yenu,
mi mwenyewe naenda club kila wiki,
haina maana hua nafata tu mziki (wa kaz gan)...
 
Rhymes galore.

Nikimsikiliza kwenye "Nipe dili" naona huyu mchizi obviously kadata kimtaa, lakini pia anaweza kuandika rhymes zenye akili kimataifa.

Vijana.wanaotoka sasa wana.mengi ya kunifunza kitoka kwenye positive side ya Ngwear. Regardless ya mengine.

indeed!!!....
 
pumbavu sana mwanaizaya we tunazungumzia kazi yake ya muziki na si maisha yake binafsi watch out your words nyambaaaf..@#&*@!%$*!!!

Alikua mwanamziki,huwezi kuzungumzia kazi ya mtu bila kugusa maisha yake.

Kwa taarifa yako huwezi kunipangia natakiwa kukomenti nini. Ushoga peleka kwa kameruni.
 
Ni vi punchline na lyrics kama hizi, pamoja na tight delivery na production yenye akili bila kusahau impeccable storytelling skills vilivyonifanya nipende muziki wa Ngwear.

Ngwear alikuwa anaweza kukuhadithia siku ilivyoenda, mpaka washkaji wanampigia simu, mpaka anaenda Mbezi kwenye party ka watoto wa kishua, mpakavituko vya masela na madem.kwenye party, ukaona kama unaangalia movie au upo kwenye hiko party vile.
He was real hood with a wry sense of humor. And a larger than life personality, in.other words, a true star. Si star wa ku force kwa promotion.

All along while he wasn't only riding, he parallel parked on the track, like Jada said.

Something hard to duplicate.

"Good die young" Some times zis quote reflects ze reality.
 
Sina nia ya kubadili maadili siyo nnachopinga nyie kushikwa masikio,
sema tu hamjui umuhimu wenu ila leo ntawambia tu ila iwe siri yenu,
mi mwenyewe naenda club kila wiki,
haina maana hua nafata tu mziki (wa kaz gan)...

ni wachache wanaelewa hapa lipi
ht nikiwa na hela vp kwa ndg na marafiki
vijijini ni asilmia tisini
masikini ni starehe zao ni pombe na ninyi
 
Kwa matumizi ya bangi madawa ya kulevya na kutoheshimu elimu hivyo hafai kuigwa lakini pia ni muwekezaji kipindi kileeeee alikuwa na bar karibu na lion hotel

Duh haya ndo mapunguf mungu amueke alipopachagua alipoku hai
 
Back
Top Bottom