Albert Mangwea (Special Thread)

Albert Mangwea (Special Thread)

JamiiForums1100220085.jpg
 
big up mandela skuiz sauz so africa ...tulotangulia kupata uhuru bado tunapigika....maskini wenzangu iyo think ndo ngoma ake ya nwisho aliandika yuko na mastress kibao kachana vbya umo...rip wizzy cow ..best rapper ever happen in africa..
 
Namkumbuka kwa kufa akiwa ambwia unga. Amechangia kuharibu vijana kwa kuwa muuza unga,amechangia kuua nguvu kazi na kurudisha nyuma uchumi wa nchi. Hafai kukumbukwa kwa zuri lolote.
Muziki wake sio wa aina yako, u cannot feel dude!!
 
Huu ni mwaka wa saba Free style icon "GWair" atupo nae duniani
Ni ngoma gan ya ngwair unaikubali au verse gani ilikubambaaaaaa
FB_IMG_15907348690247847.jpg
FB_IMG_15907348690247847.jpg
 
Msela, kachana utam sana mwanzo pale dadeki

here we go

"watu tumeshadata na hili ghetto lifestyle

shotback, rain na nelly wa X plasters

Hey dark master nitembezee chata kisha nipe kipaza nihubiri kama pasta...."
 
She got gwan[emoji91][emoji91] Rest Easy Gwair [emoji2731]
 
Biashara ile...huwa haina mwisho mwema...
Punda.. kama si kunyakwa basi ziraili huyu hapa..

RIP..
 
Wimbo wangu Bora wa nyakati zote...wa Albert


Verse 1:
wachache ndo wanaishi wengi wetu ma escorts,
twiga wanapanda pipa hata bila ya passports,
mikoa mingi bado haina hata airports,
zaidi ya migodini madini kuya export,
bila ya wazawa kufaidika,
ndo mana wazanzibara wamechoka kutanga na nyika,
big up Mandela leo South sio Africa,
waliotangulia kupata uhuru bado wanapigika,
bidhaa zilizo expire kutubambika,
meli zinazidi zama wengi daily tunawazika,
wenye hali duni ndo tunao athirika,
wao ma vx yao ni special order uhakika,
tutalia machozi ya damu mpaka yata form bahari,
na tutaogelea wenyewe na watu hawajali,
leta mgomo baridi uijue serikali then muulize Ulimboka umuhimu wa Madaktari let's go

Chorus
(bado nalia tu na Tanzania yangu/kweli mali ni nyingi wale wachache wenzangu/me nalia na masikini wenzangu/eeh baba Mungu sikia kilo changu/issue is harder tuna suffer/sikia kilio changu/issue is harder tuna suffer/me nalia like..........)

Verse 2:
viongozi wa siasa kama viongozi wa dini,
mengi wanaongea coz silaha yao ni ulimi,
mh.spika Tanzania huru inazidi zeeka tayari ni miaka 50,
mengi mmetuahidi pia ahadi ni deni,
pia tunatambua umuhimu wa UN,
kupinga h.I.v,umaskini na rushwa and,
mabilioni yanayotumika kwa campgain,
kama za kupinga unyanyasaji wa watoto,
zisiishie kwenye promo na kuwalisha bado ndoto,
ishu sio kutupiana maneno bungeni,
bali watoto watoke mtaani warudi shuleni
,mkulima shambani anahitaji usafiri wa treni,
nyie piteni angani mazao yake muuzieni,
mpeni bei nzuri aweze mudu zaidi ya trector,
ni mawazo tu DIC usione nakuTATOR

(chorous)

Verse 3.
Tanu ilifanya kazi kubwa 61,
solution sio labda nchi wachukue upinzani,
bali mtanzania wa chini anaishi maisha gani,
watu wanakufa kwa njaa iweje tujivunie amani,
ni mengi tu mazuri yamefanyika mpaka sasa,
ila naamini bado tungekuwa mbali(hivi babu wa Loliondo nae inawezekana tu ilikuwa ni siasa)NO !(Lakini iko wapi hii kaburi ya Balali !?) Men ! Jibu unalo so usiulize swali,una dini ?
Mkristu sali na Muislam swali coz,
bado tunaishi ki mungu mungu,
Baada ya m weka z usikie kizungu zungu jinsi ukoloni unafanya mambo mpaka leo,
kuongoza jamii sio kumtawala mkeo,
najiuliza maisha yangekuwaje bila mziki,
hivi mtaani ingekuwa vp ? Ingekuwa mziki ...

(Chorous)

outro yeah chamber squad baby,one love,Tanzania,Muro jr I see ya ......
Till fade
 
But still yuko around mazee.. Kazi alizoacha zinaishi, na kingine kizuri P funk aliwahi kusema ana track za Mangewear ambazo bado azijawa release... Uenda akaja ziachia!
Juzi Kati alisema kapoteza data
 
~~ Huyu jamaa alikuwa unaweza kurap na kuimba pia...alifuata ni marehem pia king zilla....ndio wanakuja hawa vizazi vingine,Hawa jamaa wangeshiriki kwenye dakika 10 za maangamizi sijui wangeuaje?
Zillah alishiriki na alifanya pouwa
 
Ngwea aliwai kusema ' Wanathamani ya Diamond na tunawabeba kwa free '

Kuanzia hapo nikawa siogopi demu hata apark Range hapo.

R. I. P BRODAH
 
Back
Top Bottom