Albert Mangwea (Special Thread)

Albert Mangwea (Special Thread)

Wanao mpa ushujaa Ngwea, wengiwao ni watoto chini ya miaka 25, kizazi cha kushusha suruali ambao hawajawa na majukumu ya kifamiria, unaweza ukawa msomi lakini ukawa hauna upeo wa kufikiri mema, kama yule mwana sayansi aliye sema tumetokana na Nyani
 
Ila madawa noma jamaa kaondoka hata rum hana wala hata godoro!!! But namkubalali saana Man ngwair hasa ngoma yake ni ( kila siku tupo juu)
 
Hivi dhambi hapa duniani ni kuvuta unga tu eeh!
 
[FONT=Arial, Tahoma, Helvetica, FreeSans, sans-serif]
[/FONT]

Juma Nature akiwa na wasanii wengine wanasubiri jeneza liwasili katika makaburi Kihonda, Morogoro, chini ni Stara Thomas akiwa ni mmoja wa wasanii waliofiki Kihonda






 
Kila mtu atakufa kwa kile anachokipenda. Alipenda unga na amekufa kwa unga. So muacheni apumzike.
 
Hatimae leo safari ya mwisho ya mwanamuziki mahiri wa muziki wa kizazi kipya, Albert Mangwea a.k.a (Ngwea) imefika mwisho baada ya maelf ya mashabiki wake kumpumzisha katika nyumba yake ya milele


[TABLE="class: tr-caption-container, width: 0, align: center"]
[TR]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: tr-caption"]Hapa ndipo mwili wa msanii NGWEA ulipopumzishwa





Msanii​
M2THE P ambaye alikuwa na marehemu Ngwea kabla ya kifo chake huko Afrika ya kusini, akilia kwa uchungu katika mazishi ya msanii Albert Mangwea huko Morogoro

[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
 






M2THEP2.jpg

M2TheP akimuaga mshikaji wake wa karibu, marehem Albert Mangwea, katika viwanja vya Jamhuri mkoani Morogoro


2.jpg

Maelfu ya wakazi wa Morogoro wakiwa katika foleni kumuaga marehem Albert Mangwea




Dada alie anguka na kuzimia akichukuliwa na watu wa msalaba mwekundu

 
Mbunge Sugu anamuaga Ngwair katika Uwanja wa Jamhuri mjini Morogoro.
 

Hapa watu wanakanyagana kwa ajili ya kujipanga mstari kwenda kumuaga marehemu Ngwair, katika Uwanja wa Jamhuri mjini Morogoro
 
Mtoa mada ni mpumbavu wa mwisho alafu anavyojishaua hapa ili aonekane anabusara ni ujinga,

Unauongelea nani kwa ukali ungeanza kutupa background ya familia yako wale wote waliokufa walikufa na nini na wewe unamema gani mpaka kumnyooshea mtu kidole?

Unataka sifa kwenye mitandao ya kijamii kwa ku-talk shyt bout others ukadhani we ni mjanja kumbe mbwiga tu

Wewe ni nani mpaka ujaji kifo cha mtu mwingine na kuongea mabaya?,Watumia Unga wapo wangapi wangapi uliwashauri??

Mburula kabisa...Kweli Mwana Mtoka Pabaya no Wonder....!!!!!
 
Huko alikoenda sidhani kama kuna mapumziko aisee.

ata maandiko ya vitabu vyote vya Mungu vinakataza kumuhukumu marehemu, kwani hapo alipo hawezi kujitetea..mwache apumzike ata kama ukumpenda Mungu ndio atakaemuhukumu.

Hapa jeneza la Ngwair linaingizwa karubini, ikiwa ni picha inayoonyesha kuwa hatutaweza tena kukutana na msanii huyu hapa chini ya jua. R.I.P Ngwair....



Hapa watu wanakanyagana kwa ajili ya kujipanga mstari kwenda kumuaga marehemu Ngwair, katika Uwanja wa Jamhuri mjini Morogoro
 
Ngwea Amepata Mazishi Ya Kishujaaa kwa Sababu amefanyiwa Sana Promo na Clouds ...Siku hizi misiba inafanyiwa Promo Kama biashara vile !!!!!!

clouds walitaka Kutumia msiba wa Ngwea particular kusafisha Taswira Yao Kwa Jamii Baada Ya Ugomvi usioisha na wasanii...lakini mwisho wa Siku hawajafanikiwa kuboresha Taswira Yao kwa jamii kupitia huu msiba..

Kuna Haja Gani ya Kutumia mamilioni kumzika Msanii ambaye hata mlo wake wa Siku alikuwa akipata kwa kuhangaika?
 
If a spade will be called a spade ,italisaidia sana taifa letu ,tatizo watu tunakimbia vivuli vyetu haisaidi.....
 
Wanao mpa ushujaa ea, wengiwao ni watoto chini ya miaka 25, kizazi cha kushusha suruali ambao hawajawa na majukumu ya kifamiria, unaweza ukawa msomi lakini ukawa hauna upeo wa kufikiri mema, kama yule mwana sayansi aliye sema tumetokana na Nyani

[TABLE="class: tr-caption-container, width: 1, align: center"]
[TR]
[TD]Mama wa Ngwair akizungumza na Mkuu wa Mkoa Morogoro, Joel Bendera, leo mjini Morogoro, kabla ya mazishi ya msanii huyo wa Hip Hop


[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
 
Kwani rc tulimsaidia wote ama alisaidiwa na kaka mkuu? Huu ujumbe ni wa kaka mkuu. Haendi kwenye misiba ya maprofesa anaenda kumzika kanumba. Kwanza sijui kwa nini hakwenda kumzika ngwear


Ray c alisaidiwa kwa kuwa Muungwana alikuwa Anakula...miaka hiyo Maeneo ya Kijitonyama...hangeweza kumtosa????!!! Matibabu yake yanakuwa handled na Presidential Hospital...
 
kwa maoni yangu mi nilitaka maiti yake ichapwe viboko ili liwefundisho kwa mateja ote na wanao taka kuingia ktk mkumbo huo, binafsi hakuna jema nililo jifunza kwake kamakweli alikufa kwa madawa.

Kwan kanumba si mtu au vip sijaelewa mana kikubwa ni nafasi tu
 
Umhimu wa mtu unaonekana kutokana na mwitikio wa jamii, sio kama unavyotaka wewe, imekuuma eeeh!

Umuhimu wake ni hizo nyimbo na video zinazoonesha madem wamebana mat.ako, kuvaa minyororo shingoni, kujirusha kwenye ma pub, kutoboa masikio, na kuvaa mlegezo? kawafunza nini wadogo zetu zaidi ya kuwaharibu? hivi wewe mpagani au? hata kama, huwezi kufikiri faida na hasara? nawe utakuwa ni walewale tu wavuta unga! Uwingi wa watu kwangu ni ukubwa wa uharibifu alioufanya. (Yeye ni binadamu mwenzangu, sifurahii kifo chake bali nahoji umuhimu wake kwenye jamii!)
 
Back
Top Bottom