Ila Msando Mungu anakuona yaani umechezea papa la Gigy ukashindwa hata kumpangia chumba Sinza?au basi hata angekuwa jirani na Lemutuz down town hahahaha
Mhhh kwa njaa hizi na ubinafsi wa vijana wa kizazi hiki,najiuliza ikitokea,sokomoko kama lile LA Nduli Amin,wangapi watajitokeza kwenda mstari wa mbele,maana sasa HV ,ni mwendo wa kupambana hari yako tu,Mungu epushia mbali,