Albert Msando Ajiunga CCM leo

Albert Msando Ajiunga CCM leo

warumi

R I P
Joined
May 6, 2013
Posts
16,218
Reaction score
18,440
Nasubiri tu Mange aamke, leo utakula kichambo, tutajua siri zako zote tutazijua.

00e86049347ab95c147de2aafb0057ba.jpg
 
Kila kona ni hofu. Hakuna alie salama...., tukaze mioyo.
 
Mhhh kwa njaa hizi na ubinafsi wa vijana wa kizazi hiki,najiuliza ikitokea,sokomoko kama lile LA Nduli Amin,wangapi watajitokeza kwenda mstari wa mbele,maana sasa HV ,ni mwendo wa kupambana hari yako tu,Mungu epushia mbali,
 
Back
Top Bottom