GE2025 Albert Msando: Hakuna vurugu wala Ghasia itakayojitokeza siku ya tarehe 29, Oktoba

GE2025 Albert Msando: Hakuna vurugu wala Ghasia itakayojitokeza siku ya tarehe 29, Oktoba

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

DuaZaMama

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2025
Posts
1,882
Reaction score
4,153
Mkuu wa Wilaya ya Ubungo, Mhe Wakili Albert Msando amesema Serikali ya mkoa wa Dar es Salaam imejipanga kuhakikisha amani na utulivu vinatawala katika kipindi chote cha kuelekea uchaguzi mkuu ujao ambao unatarajiwa kufanyika Oktoba 29 mwaka huu.

Mhe Msando amezungumza hayo kwa niaba ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe Albert Chalamila katika kongamano la kumbukizi ya Mwalimu Julius Kambarage Nyerere ambalo limefanyika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, lililobeba mada ya 'Nguvu kazi yenye ujuzi kwa maendeleo ya Taifa, kuendeleza urithi wa Mwalimu Nyerere kuelekea Dira 2050'.

Kongamano la Kumbukizi ya Mwalimu Julius Kambarage Nyrerere limeandaliwa na Kigoda cha Uprofesa cha Mwalimu katika taaluma ya Umajumui wa Afrika kwa ushirikiano na Kituo cha Ubia kati ya Sekta ya Umma na Sekta Binafsi (PPPC).
 
Kweni nani kasema kuna ghasia? Maandamano ya AMANI
 
Maelekezo Maalum kuhusu tarehe 29 Oktoba.

Siku hiyo kazi ni rahisi sana

Viongozi wa CCM tunaishi nao mitaani; Nyumba zao zipo mitaani kwetu, mali zao zipo mitaani kwetu.

Ofisi za CCM zipo mitaani kwetu. Ofisi za Umma nazo zipo mitaani kwetu

VItuo vya kupigia kura vipo mitaani kwetu

Mawaziri, Wabunge na Madiwani tunaishi nao mitaani kwetu, familia zao na ndugu zao tunaishi nao mitaani kwetu. Machawa na mali zao tunaishi nao mitaani kwetu.

Ndugu watanzania, mafuta ya taa, petroli na viberiti havijawahi kuwa adimu.

Tukafanye kazi iliyotukuka hiyo Oktoba 29 hadi hawa Mafisadi watuheshimu na wakome kutuchezea na kutuua.

Share na mwenzako
 
Msando ni miongoni mwa wanufaika wa serikali hii mbovu. Kwahiyo lazima ajihami namna hii
 
Back
Top Bottom