Mtemi mpambalioto
JF-Expert Member
- Aug 23, 2015
- 4,006
- 9,542
Apaparuke mwisho afe Msando wa watuGigy money si yupo hapo hapo Dar mpeni msando amkaushe damu
adakwe nani? mie hao wanaeza ondoka na ulemavuMkuu, tulipokutana pale baa sinza nilikuonya kwamba umelewa sana usiendeshe gari kwa kuwa ubungo kuna ukaguzi mkali. Ukabisha, haya sasa usiku huu wamekudaka unaanza kulia
Hivi huyu si ndio alikua sijui DC Morogoro? Kama ni yeye basi ni mpumbavu sana alikua anagawa vizimba kwenye soko kuu Morogoro kwa rushwa ya ngono na fedha na kujuana wakati lile soko linaanza. Amekula madem sana paleCHALAMILA nakuita tena mara ya Pili! Nilishakukumbusha kuwa huyu Albert Msando ni njaa sana anatafta kuonekana anafanya kazi ili ufukuzwe wewe hapo akae yeye!
Kumbe naye ni muhuni pia kama rafiki yake yule mwenezi? Ila Msando alikuwa smart sana kabla ya Uccm hauja muingia sana!Hivi huyu si ndio alikua sijui DC Morogoro? Kama ni yeye basi ni mpumbavu sana alikua anagawa vizimba kwenye soko kuu Morogoro kwa rushwa ya ngono na fedha na kujuana wakati lile soko linaanza. Amekula madem sana pale
Nyie Muna bifu lenuCHALAMILA nakuita tena mara ya Pili! Nilishakukumbusha kuwa huyu Albert Msando ni njaa sana anatafta kuonekana anafanya kazi ili ufukuzwe wewe hapo akae yeye!
tokea amekuja Ubungo akili yake ipo kugombana na madereva tu ili apate hela kupitia polisi na makampuni ya UDALALI
aiianza na kusema atakamata wanaotanua njiani! akaja na kusema ataeka CAMERA naona ishu ikamuwia ngumu! sasa kaja na KAMPUNI YA UDALALI ya BOSSKAZI ili kukomaa apate hela za kufanyia UZINZI vizuri!
CHALAMILA nakuhakikishia huyu MSANDO anakupaka kinyesi! hii DAR ES SALAAM yooote ipo katika hatua za ujenzi kwa hiyo miundombinu yote ya barabara haijakaa vizuri kwa nini kosa la Serikali wawe wanabebeshwa mzigo WAPIGA KURA?
hivi MNAJUA wanachofanya hao madalali katika uonevu wao huo wanafikia kuchukua VYOMBO VYA MOTO KINGUVU na kuondoka navyo bila wenye Mali? je huo sio ujambazi
JE NI SAWA KWA UBUNGO KUWA NA KAMPUNI HII WAKATI KATIKATI YA JIJI NDIO KWENYE SHIDA YA PARKING NA UJINGA HUU HAUPO wa kuonea?
CHALAMILA FUTA KAMPUNI ZA UONEVU! mdhibiti MSANDO kabla hujatoka wewe! usiseme sijakuambia
#
Aliyetulete MSANDO ubungo mie nasema ipo siku huyu kitamkuta kitu
Bado Msondo yuko smart sana hadi sasa, nimeona akimjibu Slow2 kwa weledi mno hadi digidigi kashindwa kabisa kupangua hoja ya uhalali wa kisheria wa kuchaguliwa Bimkubwa na mkutano mkuu hoja Msondo kaizika rasmi sasa mhuni digidigi karukia hoja ya mifumo kusomana ili kuiba kura!Kumbe naye ni muhuni pia kama rafiki yake yule mwenezi? Ila Msando alikuwa smart sana kabla ya Uccm hauja muingia sana!
Yaani ukiuruhusu uccm ukuzoee basi ujue utaishiwa kuharibikiwa tuu
Sasa kama makosa ya serikali wanabebeshwa WAPIGA KURA kuna ubaya gani?CHALAMILA nakuita tena mara ya Pili! Nilishakukumbusha kuwa huyu Albert Msando ni njaa sana anatafta kuonekana anafanya kazi ili ufukuzwe wewe hapo akae yeye!
tokea amekuja Ubungo akili yake ipo kugombana na madereva tu ili apate hela kupitia polisi na makampuni ya UDALALI
aiianza na kusema atakamata wanaotanua njiani! akaja na kusema ataeka CAMERA naona ishu ikamuwia ngumu! sasa kaja na KAMPUNI YA UDALALI ya BOSSKAZI ili kukomaa apate hela za kufanyia UZINZI vizuri!
CHALAMILA nakuhakikishia huyu MSANDO anakupaka kinyesi! hii DAR ES SALAAM yooote ipo katika hatua za ujenzi kwa hiyo miundombinu yote ya barabara haijakaa vizuri kwa nini kosa la Serikali wawe wanabebeshwa mzigo WAPIGA KURA?
hivi MNAJUA wanachofanya hao madalali katika uonevu wao huo wanafikia kuchukua VYOMBO VYA MOTO KINGUVU na kuondoka navyo bila wenye Mali? je huo sio ujambazi
JE NI SAWA KWA UBUNGO KUWA NA KAMPUNI HII WAKATI KATIKATI YA JIJI NDIO KWENYE SHIDA YA PARKING NA UJINGA HUU HAUPO wa kuonea?
CHALAMILA FUTA KAMPUNI ZA UONEVU! mdhibiti MSANDO kabla hujatoka wewe! usiseme sijakuambia
#
Aliyetulete MSANDO ubungo mie nasema ipo siku huyu kitamkuta kitu
Ni aibu sana kuwa na mawazo mshazari kama hayaNi aibu kubwa kwa nchi barabara ya juu inajengwa jangwani foleni ni kali mno maofisa wanachelewa kazini wengine wanapanda boda kuwahi kazini na wakati wa kurudi pia boda akijichanganya kupita mwendokasi kuna raia pale jangwani hasa usiku kuna giza wana fimbo wanachapa boda na abiria (maofisa) na kuzikamata, kwanini serikali iruhusu ukamataji jangwani jambo linalohatarisha usalama maana boda zinakuja kasi fimbo zinaanza, raia wapite wapi sasa barabara moja magari milioni?
kwanini boda wasiruhusiwe kupita mwendokasi pale jangwani wakati huu wa ujenzi na mabasi yenyewe hamna? Boda wanabeba maofisa pia kuwawahisha kazini na kuwarudisha home.
Hayo ya ubungo ni mengine pia mtajuana huko wenyewe Msondi vs Gigi Moni vs raia!!
Pia RPC wa Pwani tunakutaka kukomesha uchafu unaofanywa na askari wako wa usalama barabarani kuanzia Msata kwenda Bagamoyo,walioweka kambi mbele ya mizani ya Bagamoyo.Wanabambikia watu speed na ni wala rushwa wakubwa. Ile speed gun Yao kuna namna wameichezea! Tumefanya utafiti Maana tunapita njia hiyo Kila mara na tunatambua wapo kuanzia eneo la Mwetemo hadi unaingia B. Moyo. Na kwenye speed limit ya 50 tunajihami kwa kufuata Sheria,wkt mwingine unatembea 45kph ila ukifika unaambiwa ulikuwa 56. Na rushwa Yao ni kuanzia 10,000 ndio wasikuandikie,huna hiyo unalimwa notification. Yamenona mashavu kumbe yananuka rushwa tu! Tunataka RPC ufuatilie kwasababu wanalichafua jeshi. Tunakumbuka tulitoa taarifa kuhusu wale wanaokuwa kwenye mizani iliyopo kati ya Wami na Kihangaiko. Walivyokuwa wakibambikia speed kwenye eneo la mto Wami,. Tunamshukuru lilifanyiwa kazi na ujinga ule haupo tena. Asante.Ni aibu kubwa kwa nchi barabara ya juu inajengwa jangwani foleni ni kali mno maofisa wanachelewa kazini wengine wanapanda boda kuwahi kazini na wakati wa kurudi pia boda akijichanganya kupita mwendokasi kuna raia pale jangwani hasa usiku kuna giza wana fimbo wanachapa boda na abiria (maofisa) na kuzikamata, kwanini serikali iruhusu ukamataji jangwani jambo linalohatarisha usalama maana boda zinakuja kasi fimbo zinaanza, raia wapite wapi sasa barabara moja magari milioni?
kwanini boda wasiruhusiwe kupita mwendokasi pale jangwani wakati huu wa ujenzi na mabasi yenyewe hamna? Boda wanabeba maofisa pia kuwawahisha kazini na kuwarudisha home.
Hayo ya ubungo ni mengine pia mtajuana huko wenyewe Msondi vs Gigi Moni vs raia!!
Laana ya kuvunja kanisa la KKAM, inamsumbua.CHALAMILA nakuita tena mara ya Pili! Nilishakukumbusha kuwa huyu Albert Msando ni njaa sana anatafta kuonekana anafanya kazi ili ufukuzwe wewe hapo akae yeye!
tokea amekuja Ubungo akili yake ipo kugombana na madereva tu ili apate hela kupitia polisi na makampuni ya UDALALI
aiianza na kusema atakamata wanaotanua njiani! akaja na kusema ataeka CAMERA naona ishu ikamuwia ngumu! sasa kaja na KAMPUNI YA UDALALI ya BOSSKAZI ili kukomaa apate hela za kufanyia UZINZI vizuri!
CHALAMILA nakuhakikishia huyu MSANDO anakupaka kinyesi! hii DAR ES SALAAM yooote ipo katika hatua za ujenzi kwa hiyo miundombinu yote ya barabara haijakaa vizuri kwa nini kosa la Serikali wawe wanabebeshwa mzigo WAPIGA KURA?
hivi MNAJUA wanachofanya hao madalali katika uonevu wao huo wanafikia kuchukua VYOMBO VYA MOTO KINGUVU na kuondoka navyo bila wenye Mali? je huo sio ujambazi
JE NI SAWA KWA UBUNGO KUWA NA KAMPUNI HII WAKATI KATIKATI YA JIJI NDIO KWENYE SHIDA YA PARKING NA UJINGA HUU HAUPO wa kuonea?
CHALAMILA FUTA KAMPUNI ZA UONEVU! mdhibiti MSANDO kabla hujatoka wewe! usiseme sijakuambia
#
Aliyetulete MSANDO ubungo mie nasema ipo siku huyu kitamkuta kitu
Kwangu mimi wewe umekiri mji wote upo kwenye ujenzi wa Barabara. Mpaka kigambon kunajengwa lkn kuna makanisa yanadanganya waumini wao eti Mama anaharibu nchi watu wanafiki sana njamazao za kishetani!!! Wakiona Sadaka zimepungua kwao!!CHALAMILA nakuita tena mara ya Pili! Nilishakukumbusha kuwa huyu Albert Msando ni njaa sana anatafta kuonekana anafanya kazi ili ufukuzwe wewe hapo akae yeye!