Andromeda Galaxy
JF-Expert Member
- Feb 7, 2025
- 9,846
- 16,713
Msando ni jipu lazima litumbuliwe kabla halijaleta shida
CCM weka NIDA bila NIDA CCM yetu uwezi kuwashinda CCM ni mpango wa Mungu!! MSANDO punguza fujo maisha yaende UbungoBado yuko smart hadi sasa, nimeona akimjibu Slow2 kwa weledi mno hadi jamaa kashindwa kabisa kapangua hoja ya uhalali wa kisheria wa kuchaguliwa Bimkubwa na mkutano mkuu sasa mhuni kahamia hoja ya mifumo kusomana ili kuiba kura!
Mama mitano tena watu weweee!
Kampuni zote zinazopewa tender ya kusimamia maswala ya wrong parking huwa ni majambazi.Halafu hiyo kampuni imejaa wapigaji na wasiojua sheria
Unawaza kama huna kichwa! Kichwa simaanishi cha chini, maana hicho hakitumiki kufikiri!Bado Msondo yuko smart sana hadi sasa, nimeona akimjibu Slow2 kwa weledi mno hadi digidigi kashindwa kabisa kupangua hoja ya uhalali wa kisheria wa kuchaguliwa Bimkubwa na mkutano mkuu hoja Msondo kaizika rasmi sasa mhuni digidigi karukia hoja ya mifumo kusomana ili kuiba kura!
Mama mitano tena watu weweee! Ccm mbele kwa mbele!
Unawaza kama my wangu, kilicho kichwani mwake anafikiri kiko ndani ya kichwa cha kila mtu hata mimi! Pia elimu kidogo, usilazimishe watu kuwaza kinachokupendeza au kuwaza unachotaka wewe, nonsense kabisa, kama mtu humpendi ni wewe tu, kuanzia leo jipige kifua na ujitambue kama kilaza!ovyoo!Unawaza kama huna kichwa! Kichwa simaanishi cha chini, maana hicho hakitumiki kufikiri!
Unawaza kama my wangu, kilicho kichwani mwake anafikiri kiko ndani ya kichwa cha kila mtu hata mimi! Pia elimu kidogo, usilazimishe watu kuwaza kinachokupendeza au kuwaza unachotaka wewe, nonsense kabisa, kama mtu humpendi ni wewe tu, kuanzia leo jipige kifua na ujitambue kama kilaza!ovyoo!
🤣 🤣 🤣 🔊Gigy money si yupo hapo hapo Dar mpeni msando amkaushe damu
Wanatumia kagari aina ya IST kukusanya hela kwa nguvu 👇CHALAMILA nakuita tena mara ya Pili! Nilishakukumbusha kuwa huyu Albert Msando ni njaa sana anatafta kuonekana anafanya kazi ili ufukuzwe wewe hapo akae yeye!
tokea amekuja Ubungo akili yake ipo kugombana na madereva tu ili apate hela kupitia polisi na makampuni ya UDALALI
aiianza na kusema atakamata wanaotanua njiani! akaja na kusema ataeka CAMERA naona ishu ikamuwia ngumu! sasa kaja na KAMPUNI YA UDALALI ya BOSSKAZI ili kukomaa apate hela za kufanyia UZINZI vizuri!
CHALAMILA nakuhakikishia huyu MSANDO anakupaka kinyesi! hii DAR ES SALAAM yooote ipo katika hatua za ujenzi kwa hiyo miundombinu yote ya barabara haijakaa vizuri kwa nini kosa la Serikali wawe wanabebeshwa mzigo WAPIGA KURA?
hivi MNAJUA wanachofanya hao madalali katika uonevu wao huo wanafikia kuchukua VYOMBO VYA MOTO KINGUVU na kuondoka navyo bila wenye Mali? je huo sio ujambazi
JE NI SAWA KWA UBUNGO KUWA NA KAMPUNI HII WAKATI KATIKATI YA JIJI NDIO KWENYE SHIDA YA PARKING NA UJINGA HUU HAUPO wa kuonea?
CHALAMILA FUTA KAMPUNI ZA UONEVU! mdhibiti MSANDO kabla hujatoka wewe! usiseme sijakuambia
#
Aliyetulete MSANDO ubungo mie nasema ipo siku huyu kitamkuta kitu