Albert Msando, Mkuu wa Wilaya UBUNGO anatafuta Hela kinguvu kupitia makosa ya uonevu barabarani

Mwenye Ile konekshen tufukue makaburi kidogo
 
CCM imeshinda Chaguzi tangu hakuna NIDA nchini

ni ujinga kumwamini polepole njaa ya kukosa Vidali vya kuku..

kile anakifanya jina la polepole ndio basi wengine uko kina famiry Polepole watafute majina mengine kijana uwoni wake nadhan ni mdogo kama sikosei!!

ndiomana Familia yake ingekuwa na mtazama mpana wangemzuiya

mana kwasasa kile anachofanya kinaenda mbali zaidi kizazi chao kitakosa kuaminiwa

Umekula vidali sawa sasa unakosa bado Sema sawa !!

Mungu ajakuumbwa ule Vidali siku zote!!

Akuna zuri likakosa baya ndani yake!!

maisha yaendelee kelele zako zinakunufaisha nini uko ulipo!!

Umewaza icho unachofanya kitawakwamisha jamaa zako siku za mbele,,

polepole funga mdomo omba misamaa kabla ujachelewa !!

kwangu sijaona bayasana umeongea kwa mtazamo wangu. ivyo unayo nafasi kukisafisha kizazi chenu cha polepole maisha yaende.

Umetengeneza jina sasa unalinajisi mwenyewe jina lenu. Kizazi chenu bado kinaitajika kwenye majukum ya kitaifa

Taifa letu bado linajengwa ivyo linaitaji mchango wa nguvu kazi Akili kutoka kwetu sote.
 
CCM weka NIDA bila NIDA CCM yetu uwezi kuwashinda CCM ni mpango wa Mungu!! MSANDO punguza fujo maisha yaende Ubungo
 
Maeneo mengi dar ujenzi unaendelea, mbaya zaidi hawa mabazazi wamefunga mwendokasi na kuzuia wengine kuitumia.

Foleni iko almost jiji zima dadeki, hamna pa kuchomokea.
 
Msando ni suala la Muda tu na YEYE atatajwa na POLEPOLE maana ni mtu wa tamaa aliyejiingiza kwenye Giza! na hapo alipo ni mgonjwa! ipo siku
 
Halafu hiyo kampuni imejaa wapigaji na wasiojua sheria
Kampuni zote zinazopewa tender ya kusimamia maswala ya wrong parking huwa ni majambazi.

Kuna wale waliopo Darajani karibia na jengo la maliasili. Wale ndio mbwa kabisa. Yani hata ukisimama sekunde moja kituo cha dalala washakuvamia.

Ila ilinipa faraja siku moja kuona mmoja wao akinyukwa kisawasawa na derevea wa Lorry pale Buguruni. Alivamia gari na kupanda jamaa akaondoka nae, alichapa kama anapiga mbwa mwizi akaenda kumtupa Al Hamza.
 
Unawaza kama huna kichwa! Kichwa simaanishi cha chini, maana hicho hakitumiki kufikiri!
 
Unawaza kama huna kichwa! Kichwa simaanishi cha chini, maana hicho hakitumiki kufikiri!
Unawaza kama my wangu, kilicho kichwani mwake anafikiri kiko ndani ya kichwa cha kila mtu hata mimi! Pia elimu kidogo, usilazimishe watu kuwaza kinachokupendeza au kuwaza unachotaka wewe, nonsense kabisa, kama mtu humpendi ni wewe tu, kuanzia leo jipige kifua na ujitambue kama kilaza!ovyoo!
 
DC Albert Msando piga kazi mdogo wangu na wala usirudi nyuma. Usisikilize kelelewa za wajinga wanaokiuka sheria halafu wanataka waachwe tu. Binafsi ninakujua ulivyo smart kiutendaji.

Nchi hii watu wengi hawataki kufuata sheria na taratibu, na hawataki kuwajibishwa wanapokiuka. Na ndio maana hata wanapokamatwa na polisi kwa makosa ya barabarani wanataka waachiwe tu, YAANI WASIANDIKIWE FINE WALA WASIMUHONGE TRAFFIC.

DC Albert Msando kote ulipopita ulifanya kazi kubwa ya kutukuka ikiwa ni pamoja na wilaya ngumu yenye changamoto na watu jeuri hasa wamasai lakini umefanikisha mambo mengi yenye tija. Umeondoka Handeni lakini unakumbukwa kwa umakini wako na Busara zako. Ninaimani Mamlaka za juu zinakujua vizuri na ndio maana wamekuleta DSM.

Hata mimi kuna gari yangu imekamatwa juzi halafu dereva akanipigia kuwa aliingia mwendokasi nikamuambia apambane na hali yake .

Naona aliyeandika hii post kuna sehemu anakutengenezea fitina kwa RC Chalamila .

Ninamjua Chalamila ni mtu mwenye akili kubwa sana anajua anayejua yapi MAJUNGU NA FITINA

Msando piga kazi usisikilize hawa wapuuzi.
 
Your browser is not able to display this video.
 
Wanatumia kagari aina ya IST kukusanya hela kwa nguvu 👇
 

Attachments

  • IMG_8443.jpeg
    942.2 KB · Views: 25
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…