Album mpya ya Justin Bieber

Album mpya ya Justin Bieber

kid ink tz

JF-Expert Member
Joined
Dec 1, 2016
Posts
307
Reaction score
320
Album mpya ya Justin Bieber 'Changes' imeshika namba moja kwenye chart za Billboard 200 na kuvunja rekodi aliyoiweka mkongwe Elvis Presley miaka 59 iliyopita

Justin Bieber ameweka rekodi ya kuwa msanii mwenye umri mdogo zaidi kuongoza chart hizo kubwa zaidi za album Marekani mara 7, Justin Bieber amevunja rekodi hii akiwa na umri wa miaka 25 tu, Elvis Presley aliweka rekodi kama hii na album yake ya 'Blue Hawaii' mwaka 1961 akiwa na umri wa miaka 26

Changes ni project ya kwanza ya Justin Bieber ndani ya miaka 4, ndani ya wiki yake ya kwanza sokoni imeuza nakala 231,000 na kuwa album namba moja Marekani kwasasa
 
Album mbaya sana hii ktk album alizotoa mbaya hii hapana.. hta sokon haijafanya vzr imeuza 210k.


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Bora usikilize umbea wa mende wakipiga story kwenye tundu la choo kuliko kuchoma mb/pesa zako ukisikiliza hii albamu....albomu
 
Back
Top Bottom