Album ya D'mond ipo mtaani, Wachoma CD 1500/= why? Basata nao

mwanamabadiliko

JF-Expert Member
Joined
Oct 30, 2010
Posts
938
Reaction score
1,540
Duh hii bongo land ni shida , Yani nimekuta album ya diamond inabaniwa kwa shilingi 1500, kwenye vibanda vya kuchoma cd, kiukweli album ni kali, sasa nashangaa kwanini haki ya msanii inatumiwa na watu wengine kupata kipato. Au ndio maana ali kiba kaamua kutotoa nyimbo kabisa. Maana mtu unatoa album wanafaidika wengine
 
Huwezi kumonitor hiyo kitu hakuna usimamizi thabiti
 
Ila nimeikubali sana ngoma ya Baikoko ni kali sana. Clabu banga
 
Mimi siku ya pili tu napita zangu tegeta maeneo ya kwa ndevu nakuta wana burn na kuweka kwenye flash nikaona aisee album mtu anatoa tu kwakweli ukiitegemea utageuka dazbaba
 
Mi nawashangaa hata hao wanaotoa 1500 kununua CD, kabando kangu tu ka chuo ka jelo kanashusha albam nzima naweka kwenye simu, flash, nikitaka naweka na kwenye CD/DVD, hiyo ndio nguvu ya jelo. Sema natania tu, tununue CD og tumtegemeze msanii wetu aendelee kutingishiwa mattako na kina Wema Sepetu
 
Nenda katoe taarifa sehemu husika na uwaonyeshe sehemu vilipo hivyo vibanda vinavyochoma hiyo cd ya Diamond,toa ushirikiano kama raia mwema mkuu.
 
mwakyembe Na Juliana Shonza mnamsaidiaje diamond Na wasanii wengine?
 
Nitaambulia nini zaidi ya kuwekwa rokapu kuisaidia jeshi ra porisi
Wewe hutaki kulisaidia jeshi la Polisi? Kuona maovu yakitendeka na kuyafumbia macho ni sawa na kuyasapoti tu hayo maovu,

"The world suffers a lot. Not because the violence of bad people. But because of the silence of the good people."
 
Tume target nje ya nchi...kule napo tuna soko kubwa...sema basata ni zero kbs
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…