Huyu bwana hana washauri japo aniajiri niwe mshauri wake. Ndy jamaa ana kipaji kizur sana but kuna vitu anakosa ambavyo vinahitaji harmo awe harmonize wa international zaidi.
Mistakes.
Album name vs content within the songs-+ haviendani. Ndyo unaweza kuita album ata jina kigagula lkn tunahitaji kuona je kwenye nyimbo zako kunasadifu kigagulaaaa??? Hapa kaferi mnoo.
Majungu: tulimpigia kelele hapo nyuma kuhusu majungu tukimanisha ili awe msanii mkubwa zaidi afokasi kwenye kazi tu, aache majungu. Hapa ameimba majungu watakaoelewa hiyo nyimbo na dhima yake ni watu wanaofahamu hayo majungu yameelekezwa kwa nani saidi, wasiojua wataona ameimba upupu.
Amejichagulia mashabiki wa kusikiliza album yake zaidi kuliko kuweka usawa kwa wote ili album iuze, unapouponda upande wa pili means unafanya mashabiki wa huo upande wasiwe na time na album yako.
Jamaaa abadilike. Kungekuwa na uwezekano kuchenji jina la album basi ningesema change. High school alafu unaimba ujinga. Asiaibishe high schoolers huyu mmakonde!
But nmeipenda Mdomo ft chinga🏌️