Album ya Harmonize ya High School imetoka tayari

Album ya Harmonize ya High School imetoka tayari

Franky Samuel

JF-Expert Member
Joined
Oct 10, 2018
Posts
5,195
Reaction score
13,785
Album imetoka leo tayari ikiwa na nyimbo 20 inapatikana kwenye platform zote, album ni kali sana.

Screenshot_20211105-083836_Spotify.jpg
 
ile ngoma yenye miondoko kama ya Reggae hivi inaitwaje naitafuta
 
Mtaje na Sorry, kama hii Mtaje ina vionjo fulani vya Sindimba.
 
Nimesikiliza nyimbo kadhaa akiwa na Sarkodie,Angela, Sholo na ile Sandakalawe remix pamoja na nyimbo nyingine mbili. Album inaonekana itakuwa moto ni suala la kuipa muda na kusikiliza angalau ipite hata wiki
 
Huyu bwana hana washauri japo aniajiri niwe mshauri wake. Ndy jamaa ana kipaji kizur sana but kuna vitu anakosa ambavyo vinahitaji harmo awe harmonize wa international zaidi.
Mistakes.
Album name vs content within the songs-+ haviendani. Ndyo unaweza kuita album ata jina kigagula lkn tunahitaji kuona je kwenye nyimbo zako kunasadifu kigagulaaaa??? Hapa kaferi mnoo.

Majungu: tulimpigia kelele hapo nyuma kuhusu majungu tukimanisha ili awe msanii mkubwa zaidi afokasi kwenye kazi tu, aache majungu. Hapa ameimba majungu watakaoelewa hiyo nyimbo na dhima yake ni watu wanaofahamu hayo majungu yameelekezwa kwa nani saidi, wasiojua wataona ameimba upupu.

Amejichagulia mashabiki wa kusikiliza album yake zaidi kuliko kuweka usawa kwa wote ili album iuze, unapouponda upande wa pili means unafanya mashabiki wa huo upande wasiwe na time na album yako.

Jamaaa abadilike. Kungekuwa na uwezekano kuchenji jina la album basi ningesema change. High school alafu unaimba ujinga. Asiaibishe high schoolers huyu mmakonde!
But nmeipenda Mdomo ft chinga🏌️
 
Back
Top Bottom