Acha chuki ww sampling za beat mbona zinanyika sana,chuki haijengi afu hata haikusaidii kwa chochote
Sampling sio kosa, kosa ni kufanya sampling bila kibali cha mwenye hati miliki ya wimbo. Kama kweli amerudia kosa hilo anatakiwa ajitathmini yeye pamoja na management yake, isije ikawa amezungukwa na watu wanaomsifia tu ili watumbue hela zake ama kumtumia kupambana na adui zao.Album ya Msanii Harmonize (AFROEAST) imefutwa YouTube ma boomplay,hilo ni pigo katika juhudi harakati za harmonize kimziki.
Sababu kubwa ni copy and paste pia nyimbo karibia zote ni sampling za nyimbo za wasanii wengine.
Pole sana Harmonize.
Sent using Jamii Forums mobile app
hahaaaa hawakawii mjubaDiamond anahusika tu kwa vyovyote ndivo watasema wamakonde wote Tanzania
Sent from my iPhone using JamiiForums
Unavyomlaumu kwani yeye ndio kafuta [emoji851]Acha chuki ww sampling za beat mbona zinanyika sana,chuki haijengi afu hata haikusaidii kwa chochote
Diamond anahusika tu kwa vyovyote ndivo watasema wamakonde wote Tanzania
Sent from my iPhone using JamiiForums