Album ya Harmonize yafutwa YouTube & Boomplay

Album ya Harmonize yafutwa YouTube & Boomplay

Viol

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2009
Posts
25,420
Reaction score
18,298
Album ya Msanii Harmonize (AFROEAST) imefutwa YouTube ma boomplay, hilo ni pigo katika juhudi harakati za harmonize kimziki.

Sababu kubwa ni copy and paste pia nyimbo karibia zote ni sampling za nyimbo za wasanii wengine.
Pole sana Harmonize.

UPDATES.
Harmonize ameeleza kwamba ni kweli album yake ilikuwa haipatikani kwenye platforms zote ila sasa ashafanikiwa kurudisha kwa baadhi ya platforms

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukisample lazima pate kibari toka kwa mtunzi na mwenye rekodi kisha ulipie royalities. Kama hakufuata hili itamcost.. sema dogo ana majanga hadi namuonea huruma ila anapambana
 
Album ya Msanii Harmonize (AFROEAST) imefutwa YouTube ma boomplay,hilo ni pigo katika juhudi harakati za harmonize kimziki.

Sababu kubwa ni copy and paste pia nyimbo karibia zote ni sampling za nyimbo za wasanii wengine.
Pole sana Harmonize.

Sent using Jamii Forums mobile app
Sampling sio kosa, kosa ni kufanya sampling bila kibali cha mwenye hati miliki ya wimbo. Kama kweli amerudia kosa hilo anatakiwa ajitathmini yeye pamoja na management yake, isije ikawa amezungukwa na watu wanaomsifia tu ili watumbue hela zake ama kumtumia kupambana na adui zao.
 
Album imebuma hiyo, Harmonize anaanza kukimbizwa views na viewer na Mboso, itakuwa Kik hyo kuiboost deadly album,
Jamaa anapambana Sana, tatizo anapambana ili kuwaaminisha watu kuwa yeye ni legend, inshort atapasuka msamba, ila anafight Sana
 
Back
Top Bottom