Album ya Harmonize yafutwa YouTube & Boomplay

Album ya Harmonize yafutwa YouTube & Boomplay

Sijui amekwama wap pole yake


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Tatizo mmakonde tamaa ndio inamuangusha jamaa anakipaji mpambanaji ila hajiamini hataki kusimama yeye kama yeye.

Kila anachofanya anataka acopy kutoka kwa mtu fulani au kitu fulani kilicho fanikiwa huko nyuma

Kiukweli afroeast binafsi niliielewa lakini nilikuwa najiuliza why amecopy nyimbo nyingi kiasi kile ,lakini niliondoa shaka kwa kuwa hit kama ya Mr blue, na q chiller, ni washkaji

Jee zile ngoma nyingine za ma mbele kama your body, na fall in love nilibaki na maswali mengi ila nilijua masha fanya makubaliano





Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii biashara unaweza kufanya hapa kibongo bongo ila huko duniani wako serious sana. Sijaisikia album ila nimesikia wimbo mmoja akiwa na morgan heritage nikasikia ile malaika.
 
View attachment 1399572
Wap hapo mkuu, mi sijona
Harmonize | Audiomack hapo kwenye kusearch andika Harmonize,zitakuja nyimbo zote za Harmonize zikiwemo na zile nyimbo zote 18 kutoka kwenye album ya Afroeast
Screenshot_20200326-074608.png
 
Kuna mtu alisema ile album hakuna hata nyimbo itakayo heat kimataifa kwa kuwa Chemistry ya Konde na wasanii wengine ni hafifu compared to Diamond, mtoa mada alitukanwa sana, leo tunaona matokeo
 
Yaani hata mbosso anampita viwers wakati yeye ndo alitangulia kutoa ngoma dah...Harmonize akiwasikiliza akina Diva,B dozen na wanafki wengine atafeli sana hao ni watu waliomfelisha kwa kiasi kikubwa Alikiba na sasa wamemtema hawana muda nae.
Write your reply...kuna mtu alisema ile album hakuna hata nyimbo itakayo heat kimataifa kwa kuwa chemistry ya Konde na wasanii wengine ni hafifu compared to Diamond,mtoa mada alitukanwa saana,leo tunaona matokeo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom