Album ya Harmonize yafutwa YouTube & Boomplay

Album ya Harmonize yafutwa YouTube & Boomplay

Promo nyingi lakini cha maana àĺichokifanya hakuna ana team kubwa ya watu ambayo vichwani ni zero kazi kupiga umbea tu ikiongozwa na H baba.
 
Dah wabongo mnaongea sana....nimeifuta makusudi ili mnunue cd ambazo machinga wangu watakua wanasambaza very soon..endeleeni kusapoti
 
Album ya Msanii Harmonize (AFROEAST) imefutwa YouTube ma boomplay,hilo ni pigo katika juhudi harakati za harmonize kimziki.

Sababu kubwa ni copy and paste pia nyimbo karibia zote ni sampling za nyimbo za wasanii wengine.
Pole sana Harmonize.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hii post yaweza pia kuwa na lengo la kuboost views and listens huko YouTube na BoomPlay respectively.
 
Mbina boomplay album bado ipo??
Screenshot_20200326-111134.jpeg

Lakini punde, akakwingilia Jack Chan shashaaa
 
Album ya Msanii Harmonize (AFROEAST) imefutwa YouTube ma boomplay,hilo ni pigo katika juhudi harakati za harmonize kimziki.

Sababu kubwa ni copy and paste pia nyimbo karibia zote ni sampling za nyimbo za wasanii wengine.
Pole sana Harmonize.

Sent using Jamii Forums mobile app
Tangu lini sampling ikawa crime kwenye sanaa
Kama wasanii husika walikuwa consulted before the release of Konde's album.
 
Ukisample lazima pate kibari toka kwa mtunzi na mwenye rekodi kisha ulipie royalities. Kama hakufuata hili itamcost.. sema dogo ana majanga hadi namuonea huruma ila anapambana
On the way to the top vikwazo huwa haviishi
 
Back
Top Bottom