Album ya vingereza viiingi itawika wapi akae chini arudi kwa mzee wake akatubu azidi kufundwa
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Album ya vingereza viiingi itawika wapi akae chini atudi kwa mzee wake akatubu azidi kufundwa
Sent using Jamii Forums mobile app
Kumbe mmeisikiliza????[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kiingereza chenyewe hajui basi tabu tupu. Nasikia Dey me I go dieee or for youuu
Hii post yaweza pia kuwa na lengo la kuboost views and listens huko YouTube na BoomPlay respectively.Album ya Msanii Harmonize (AFROEAST) imefutwa YouTube ma boomplay,hilo ni pigo katika juhudi harakati za harmonize kimziki.
Sababu kubwa ni copy and paste pia nyimbo karibia zote ni sampling za nyimbo za wasanii wengine.
Pole sana Harmonize.
Sent using Jamii Forums mobile app
HaipoMbina boomplay album bado ipo??View attachment 1399783
Lakini punde, akakwingilia Jack Chan shashaaa
Tangu lini sampling ikawa crime kwenye sanaaAlbum ya Msanii Harmonize (AFROEAST) imefutwa YouTube ma boomplay,hilo ni pigo katika juhudi harakati za harmonize kimziki.
Sababu kubwa ni copy and paste pia nyimbo karibia zote ni sampling za nyimbo za wasanii wengine.
Pole sana Harmonize.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani King Music wanasemaje ?Diamond anahusika tu kwa vyovyote ndivo watasema wamakonde wote Tanzania
Sent from my iPhone using JamiiForums
On the way to the top vikwazo huwa haviishiUkisample lazima pate kibari toka kwa mtunzi na mwenye rekodi kisha ulipie royalities. Kama hakufuata hili itamcost.. sema dogo ana majanga hadi namuonea huruma ila anapambana