Album ya Harmonize yafutwa YouTube & Boomplay

Album imerudisha Boomplay lkn nyimbo zilizorudi ni 17 nyimbo ya Body ft Burnaboy ambayo ina vionjo kutoka ktk nyimbo ya Papa Wemba haijarudishwa.

Harmo awe makini hii mara ya tatu Mara ya. Kwanza Uno Magic Enga akaiondoa Youtube baada ya mazungumzo kairudisha,mara ya pili Hainistui Simple the Boy na Mr Nice wakalalamika yakaisha ,leo tena Body ft Burnaboy.

Haya maswala ya copyright kama akikutana na watu wengine watamfilisi.Kurudia nyimbo si kitu kibaya na sio kwamba hujui kutunga,bali fuata taratibu za kisheria kuonyea heshima kwa mtu aliye create na kumlipa hela yake.

Nyimbo zimerudi YouTube zimeanza upya kukaunti from zero,views zote za mwanzo zimefutwa.
 
Mwanangu we ukitoka usirudi,
Fanya tu tupate dishi tuishi gudi,
Watakupa maseke kusudi,
Ili tu wakutoe kwenye mudi,

CC. Rich Mavocal Babilon
 
Mwanangu we ukitoka usirudi,
Fanya tu tupate dishi tuishi gudi,
Watakupa maseke kusudi,
Ili tu wakutoe kwenye mudi,

CC. Rich Mavocal Babilon
hivi huyu jamaa bado yupo? dokii alimponza sana mdogo wake sa hiv kamtelekeza
 
Apambane na vikwazo,Apige kazi, aepuke vijembe beef chuki atafika mbali.But naona kuna watu wanamsapoti sababu hawapatani na Mondi hii hatari sana maana hawa hawapo kwa mapenzi ya kweli wapo pale kumuumiza mtu flani awe nao makini maana muda ukienda na interest zao huweza kubadilika
 
Umeongea point kubwa Sana bidada.
 
una akili sana mdogo wangu,bonge la point
 
Duh sio kwa mapovu haya, jamaa kaleta tu taarifa sidhani kama anakosa lolote
Niukweli kabisa yakuwa mtoa mada Hana makosa , lakin Hawa team konde gang wanaona kwamba wameonewa Sana nailihali itifaki imefata msingi.

Kitu kingine ninachokiona mm kwa harmonize nikwamba anajaribu kushindana na watu ambao hawana habari kwamba yeye nahitaji ushindani ,hili liko wazi kabisa.

Sasa anaoshindana nao wanamuangalia2 hawana hata habari nae,..

Kiukweli ilimbidi huyu bwana atulize akili ili aweze kufanya biashara ya mziki ili ili aende mbali zaidi nasio kufanya mashindano ya mziki maana hata anaoshindana nao hawamfuatilii.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa nini unasema anashindana ???
Kutoa album ni vibaya????

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa nini unasema anashindana ???
Kutoa album ni vibaya????

Sent using Jamii Forums mobile app
Haina maana kwamba akiyoa album nivibaya,. Kama unafuatilia vizur mziki wa harmonize Kuna baazi ya verse zinasibiyisha yakuwa Yuko kiushindani zaidi. Anachokifanya yeye nikuwaaminisha mashabiki wa WCB na wasanii wa WCB yakuwa anauweza mziki pasi na uwepo wa hao WCB .

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwani harmonize hawezi kuforce bifu kwa diamond ili afanye vizuri kama diamond mwanzoni alivyokuwa anaforce bifu kwa kiba
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…