B R A C E L E T
JF-Expert Member
- Nov 11, 2018
- 2,357
- 4,390
Album ya Rayvanny "Sound from Africa" uchambuzi, ratings!!, cons and pros, Karibu.
Raymond Shabani Mwakyusa a.k.a Rayvanny kaachia album yake ya kwanza toka anze Carrier yake ya muziki miaka kadhaa iliyopita.
Jina la Album : Sound from Africa
Wasanii walio-shirikishwa jumla 20
13 international artists :-Innoss B, Jah Prayzah, Kizz Daniel, Enisa, Frenna, Nasty c, Rowlene, weasel, Aminux, Gims, Messias Maricoa,
7 local artists :- Diamond Platnumz, Linex, Young Lunya, Jux, Saida Karoli, Vanessa Mdee, Mbosso,
Album imepita na almost genre zote za our common African vibes:, Afro pop, Afro bongo, Bongo fleva, RnB, Bongo Trap, Muziki wa dansi,
My take
Pros
-Album ina nyimbo nyingi,
-Creativity ya kutosha(kajitahidi kuswitch flows zake kukidhi mahadhi mbali mbali),
Cons
-Collaboration nyingi sana,
-Uandishi (Hapa nashauri Rayvanny asikilize sana English songs apate new terms, kwenye kiswahii akamsome Shaban Robert), sikiliza Koroga ft Kizz Daniel, Tingisha ft Aminux, Mule mule.
-Nyimbo kama Nne zilishatoka lakini sijaona umuhimu wa kua kwenye hii album haswa hizi remix ''number one remix'', '' Chuchuma remix '' pamoja na "Tetema".
Nyimbo zangu pendwa kwenye hii Album
-Kiuno ☀️
-Zamani 🌠
-Lala ft jux💫
-Twerk ft Vanessa Mdee✨
-Waongo 💔
-Juju 🌟
Naipa 7/10.............!!!!!!!
Audiomack 🔗 link
Narcotic
💫✨