Album ya Rayvanny "Sound from Africa" uchambuzi, ratings!!, cons and pros, Karibu.

Album ya Rayvanny "Sound from Africa" uchambuzi, ratings!!, cons and pros, Karibu.

😀😀 Rayvanny kazingua Sana my number one remix , mpangilio wa mashairi upo shagala bagala , Yule demu kajitahdi Sana Kwa kiwango chake , Ila rayvanny hakuujali , yaan unacopy na kupaste , alaf verse iliyokuwa ya Kwanza unaiweka ya pili bila kuangalia move ya beti la Kwanza .....
 
Yule dada kanogesha kiukweli,
Wimbo gani aliofanya na artist kutoka Nigeria umeupenda?
 
1. Zuena ft Mbosso & Weasel
2. Lala ft Jux
3. Marry Me
4. Rotate ft Nasty C (Hii siioni kuwa kali sana ila nmependa flow ya Nasty C)
5. Zamani
 
Vanessa ni fundi aseeeeh, hajawahi angusha collabo yake yeyotee.
Vee n [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]. Sijutii kuwa fan wake. Yan kaua utadhan hit yake.
 
Hii album ni kali ameimba Kiingereza kizuri sana Naweza kusema kwa Album ziliOtoka mwaka huu hii ni kali.
 
Back
Top Bottom