Colabo ipi aliofanya na msanii wa nje umeipenda?
😀😀 Rayvanny kazingua Sana my number one remix , mpangilio wa mashairi upo shagala bagala , Yule demu kajitahdi Sana Kwa kiwango chake , Ila rayvanny hakuujali , yaan unacopy na kupaste , alaf verse iliyokuwa ya Kwanza unaiweka ya pili bila kuangalia move ya beti la Kwanza .....
Alidondoka akiwa kwenye show hii ya wasafi tumewasha.
Kabisa kk.ahaaa .kudondoka sio kuumwa
Yule dada kanogesha kiukweli,😀😀 Rayvanny kazingua Sana my number one remix , mpangilio wa mashairi upo shagala bagala , Yule demu kajitahdi Sana Kwa kiwango chake , Ila rayvanny hakuujali , yaan unacopy na kupaste , alaf verse iliyokuwa ya Kwanza unaiweka ya pili bila kuangalia move ya beti la Kwanza .....
Sure ukubwa dawa.Innos' B , hii huenda na yope haikanyagi sema bc tu mond n mkubwa mno, ila hii na rayvanny n bonge la collable💥💥💥
Sure ukubwa dawa.
Itatembea sana,But hii album nahis itafanya makubwa sana 😁
Sure nimeona audiomax imepunga mkono views 3m ndan ya 12 hrs onlyItatembea sana,
Iwapo pia ata achia videos zake.
[emoji849]vijembe vya nini tena nyimbo za Sasa duuu[emoji23][emoji23][emoji23]Link ya audiomack hio apo unaweza kustream bila kua na iyo app,
Wimbo wake aliomshirikisha jux nahisi utaupenda,
Kuna vijembe vimetupwa uko.
Hahahah[emoji849]vijembe vya nini tena nyimbo za Sasa duuu[emoji23][emoji23][emoji23]
Sent from my TECNO KB8 using JamiiForums mobile app
Album kali ,REMIX nying