Album ya Too Much kutoka kwa Young Killer Msodoki ni zaidi ya hatari!

Album ya Too Much kutoka kwa Young Killer Msodoki ni zaidi ya hatari!

Tukiwa na kiu tunakunywa maji matitu _ kila siku

Hata uziweke siku kwenye friji hazigandi

We kunywa serengeti ila maisha ni safari
Niki pata Michele huwa naenda zangu Zanzibar jambiani.
👉Na mtoto mkali Kama jini subriani
Akifa haozii, ana chomwa Kama biriani
Vijiti na milipuko Kama talibani🤣😂🤒
 
Back
Top Bottom