Alcohol drinkers special thread

Siku hizi safari zimekua tamu...
Yani vibia vya 1500-2000 ndio habari ya mjini asante Magu.
Kikubwa serekali hii ilichofanikiwa awamu hii ni kwenye bei za pombe aisee...nitakua mchoyo wa fadhila kama sitomshukuru magu kwa hilo[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Siku hizi safari zimekua tamu...
Yani vibia vya 1500-2000 ndio habari ya mjini asante Magu.
Ila cjapenda kwann viroba vilipigwa ban maana vilikuwa vinasave sana ata ukiwa na bukta mtaan vinaenea vinne ni ww tu kunyonya hyo karatasi alafu uende kwa baby baby
 
Mhmmm kumbe leo ijumaaa![emoji481][emoji481][emoji481][emoji481]
 
Maswa time hii... Maluse guest house accompanied by Balimi
 
Nachukia sana pombe ndio chanzo kilicho watia umasikini kaka zangu waliokuwa wana kazi zao nzuri tu.
 
Inategemea kama walikuwa wanakula mshahara wote. Pole mkuu kila mtu na kichwa chake
Mkuu hao kaka zangu walikuwa ni wapumbavuu, yaani mtu anaenda bar kisha anawanunulia bia watu wote anaowafahamu mpaka pesa zinaisha wanakosa hata nauli ya kuwapeleka kesho kazini, yaani kutumia laki mbili kwao kwa usiku mmoja hawaoni shida. Baba yangu aliwasema sana mpaka wakakosana akawapiga marufuku wasifike nyumbani kwake. Walikuja kuachishwa kazi na wale wazungu sababu ya utolo ambao mara nyingi ulisababishwa na kulewa sana. Inaniumaga sana Leo hii wamekuwa ni madayworker tu
 
Shida sio pombe ni kila mtu tu na halmashauri ya kichwa chake.. Haya we haunywi we ni tajiri??
Nasikitika kuwa hili swali lako ni la kipumbavuuu kuwahi kuliona jamiiforum.

Ndio mimi ni tajiri una kingine cha kuuliza?
 
Nasikitika kuwa hili swali lako ni la kipumbavuuu kuwahi kuliona jamiiforum.

Ndio mimi ni tajiri una kingine cha kuuliza?
Kama nilikukwaza unisamehe mkuu, lakini ile geralization yako kwenye alcohol kwa reference case ya ndugu yako, haina kichwa wala mguu .. uniwie radhi tuu
 
Kama nilikukwaza unisamehe mkuu, lakini ile geralization yako kwenye alcohol kwa reference case ya ndugu yako, haina kichwa wala mguu .. uniwie radhi tuu
Sijafanya generalisation yoyote kwenye comment yangu bali wewe ndio umei interpret unavyojua wewe!

Hivi mtu akisema nina uchukia sana mpira unanikosesha muda wa kukaa na familia yangu siku za weekend anamaanisha kuwa anawachukia hadi wachezaji wa huo mpira ama?

Nimesema nnaichukia pombe na sio vinginevyo, pengine labda nnawachukia na wanaoitengeneza au mnamchukia mtu aliye introduce kitu kinachoitwa pombe au nnamchukia na muhamasishaji wa wale walevi mbwa na sio watumiaji binafsi wasiokuwa na impact yoyote ya moja kwa moja kwa wale ndungu zangu.

Swali lako uliloniuliza kwenye comment iliyopita ndio halina kichwa wala mkia na pia limekaa limekaa kitoto sana.
 
Unahamisha magoli sasa em Haya.. swali lilikua la kitoto kama usemavyo sababu hoja yako ilikua Ya kitoto sana."Unaichukia pombe sababu ndo chanzo kilichowatia umaskini kaka zako"
 
Unahamisha magoli sasa em Haya.. swali lilikua la kitoto kama usemavyo sababu hoja yako ilikua Ya kitoto sana."Unaichukia pombe sababu ndo chanzo kilichowatia umaskini kaka zako"
Tatizo lako ni nini hasa? ni mimi kusema kwamba naichukia pombe au?

Sijahamisha magoli isipokuwa wewe una matatizo ya kuelewa sijui una gundi kwenye huo ubongo! Binafsi sina tatizo na wanywa pombe isipokuwa pombe yenyewe na hata kama nna tatizo na wanywa pombe basi itakuwa ni kwa hao kaka zangu pekee na wala sio kwa walevi mbwa wengine wasionihusu kama wewe. Sasa wewe kwa akili zako za bata ukaja kuniuliza swali la kipuuzi eti mimi ni tajiri, utafikiri labda nimemaanisha kila anaekunywa pombe ni masikini na kila aisiyekunywa pombe sio masikini.

Swali lako lilikuwa ni lakipumbavuu sana na linaonyesha ukupurukaji.
 
Unajielezea sana ujinga tuu wapi nimesema unatatizo na wanywa pombe? mbona unakubali kuwa mbolea ya ujinga .ulisema Pombe ndo chanzo? nikakwambia pombe sio chanzo tatizo ni akili zao wenyewe usisingizie pombe nikakuuliza kwaiyo we ambaye hunywi umekua tajiri kwani? ili tu niko prove kwamba shida sio pombe hata kidogo.. Nisawa nakusema "Money is the root of all evil , lakini sio kweli but our ignorance about money can be" Unaandika ujinga mwingi sana kutetea upumbavu tu , sio wajinga wanaokwambia drink responsible. Kataa kuwa mbolea ya ujinga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…