Sijafanya generalisation yoyote kwenye comment yangu bali wewe ndio umei interpret unavyojua wewe!
Hivi mtu akisema nina uchukia sana mpira unanikosesha muda wa kukaa na familia yangu siku za weekend anamaanisha kuwa anawachukia hadi wachezaji wa huo mpira ama?
Nimesema nnaichukia pombe na sio vinginevyo, pengine labda😱 nnawachukia na wanaoitengeneza au mnamchukia mtu aliye introduce kitu kinachoitwa pombe au nnamchukia na muhamasishaji wa wale walevi mbwa na sio watumiaji binafsi wasiokuwa na impact yoyote ya moja kwa moja kwa wale ndungu zangu.
Swali lako uliloniuliza kwenye comment iliyopita ndio halina kichwa wala mkia na pia limekaa limekaa kitoto sana.