Lissa lee
Senior Member
- Jul 18, 2017
- 182
- 204
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Wanawake wengine ni ving'ang'anizi na wabishi kukubali kuwa jua limekuchwa
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Wanawake wengine ni ving'ang'anizi na wabishi kukubali kuwa jua limekuchwa
Kweli mummy wamezidi unafikiHalafu nyie wanaume sijui mnatakaje., wanawake wasiopaka make up hamuwaangalii hata kidogo mnawapna nsyuka, mfn mzuri akiwekwa yule sijui ndo ebitoke mnaponda weeee! Tukiweka make up mnatukimbilia speed halafu mitandaoni mnajidai hampendi. Isingekuwa nyie kuwa picky na kudanganywa na make ups unadhani wangapi wangehangaika nao namna hii? Hamjitambui