Alert: Kabla ya kumtongoza demu soma hapa kwanza

Alert: Kabla ya kumtongoza demu soma hapa kwanza

Halafu nyie wanaume sijui mnatakaje., wanawake wasiopaka make up hamuwaangalii hata kidogo mnawapna nsyuka, mfn mzuri akiwekwa yule sijui ndo ebitoke mnaponda weeee! Tukiweka make up mnatukimbilia speed halafu mitandaoni mnajidai hampendi. Isingekuwa nyie kuwa picky na kudanganywa na make ups unadhani wangapi wangehangaika nao namna hii? Hamjitambui
Kweli mummy wamezidi unafiki

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Za sikuizi ni waterproof so msijisumbue kutupeleka swimming [emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13]
 
Back
Top Bottom