Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
WAKUU
leo alfajiri nilipata nafasi ya kuongea na mwenzetu LUNYUNGU akiwa hispitali India
Anawasalimu sana na anaimiss JF kunoma. Kuhusu maendeleo ya afya yake, amepata huduma nzuri tangu apokelewe mpaka sasa. ananiambia kuwa bado wanamfanyia vipimo zaidi na inawezekana wasimchanje maana hata dawa anazotumia sasa zimempa haueni kubwa. Anatukumbuka na anaomba tuendelee kumuombea uzima.
Kwa jinsi nilivyoongoea naye nimegundua kitu kimoja kwamba wenzetu wanajali sana ubora wa huduma wanayoitoa kwa mgonjwa na wanatumia vyema resources zao kuhakikisha sekta ya afya inakuwa bora zaidi. Inawezekana baada ya muda mfupi tukaungana na mwenzetu hapa akiwa salama salimini.
Ujumbe wangu kwa Hospitali ya Muhimbili ---- SHAME on YOU, read my lips
Msanii small correction
Niko Holland siko India tuendelee na naomba sana sana sana sala zenu mie nitapona
Msanii small correction
Niko Holland siko India tuendelee na naomba sana sana sana sala zenu mie nitapona