Alex Korosso afa na hela za kikundi cha Uigizaji

Kasomi

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2014
Posts
11,030
Reaction score
20,391
Mwenyekiti wa chama cha Waigizaji Tanzania (TDFAA) bwana Chiki mchoma Amesema Alex Korosso maarufu kama Simba ambaye amejiua kwa kujipiga risasi baada ya kumuua kijana mmoja aitwaye Gift kwa kumpiga risasi alikuwa mtunza hazina wa kikundi hicho cha Waigizaji- Tanzania kilichopo Dar es Salaam.

Pia bwana korosso alikuwa mwanachama wa kikundi hicho.

Pia soma> Mauaji Lemax Bar Sinza kwa Remmy: Kabla ya kujiua, Alex Korosso alimpiga risasi Gift Mushi
 
Mwenyekiti wa chama cha Waigizaji Tanzania (TDFAA) bwana Chiki mchoma Amesema Alex Korosso maarufu kama Simba ambaye amejiua kwa kujipiga risasi baada ya kumuua kijana mmoja aitwaye Gift kwa kumpiga risasi alikuwa mtunza hazina wa kikundi hicho cha Waigizaji- Tanzania kilichopo Dar es Salaam.
Pia bwana korosso alikuwa mwanachama wa kikundi hicho.
Kumbe alikuwa mwiigizaji?
 
Kumbe alikuwa anadaiwa ndio maana akaamua kufanya yale maigizo pale bar
 
Zimekufa na yeye
hapa labda wanataka kuzidiana ujanja kwa hali ya sasa pesa ya kikundi huwa na wapiga sahihi zaidi ya watatu hii ya kumpa mtu mmoja akaae nazo kwenye kibubu chake inaonyesha wazi hao waigizaji kama kioo cha jamii basi wana tatizo ama uelewa hafifu matangazo yote hayo na mengine wanashiriki kuyafanya kuhusu account za vikundi bado wanaamini kibubu kukaa kwa mtu?
 
Huenda kuna account yao ila yeye ndo alikuwa the top kwenye mambo ya financial kuhusu utunzaji
 
Kama zilikuwa kwenye akaunti yake binafsi, nafikiria chama watapataje hizo hela kwa kweli..
Ilikuwaje chama kiweke kwenye akaunti yake binafsi?! Hizo zake labda kama aliandika mahali.
 
Back
Top Bottom